I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to Build Expert Business & Sell High Ticket Offers

Joined May 2015
1,181 Photos and videos
Pinned Tweet
....Kuna jamaa wanachapa pesa mtandaoni bhana! Ukiniuliza kwa Bongo soko la Information Marketing linakuwa kwa kasi sana. Ukiangalia mtu kama @isaack_nsumba , @NyandaAmosi ni miongoni mwa wabobevu kwa kuuza taarifa mtandaoni. @Mkunga_Og anamkimbiza mwizi kimya kimya kwa kuuza bidhaa za taarifa za afya. Wako wengi sana, Kina @jnanauka , @GillsaInt , @Sam_instaGuru, @gabyconscious, @ally_eh, @meetmelch, @meetkhaled_, @sajo_mwaihabi, @Psiteshio1, @ShukuruAmos, @jorammtanzania, @kelvinkibenje, @SeifJamal21, @mafolebaraka @Joshuamsuya_ @kabigwa_78 Na wengine wengi.. Hawa waliamua mali yao kuipata shambani. Binafsi huwa naamini kuwa INTANETI indo fursa pekee ya kumtoa mtoto wa mkulima na hakuna mtu wa kumkwamisha. Sema watu wengi wanapokuwa mtandaoni wanakosa kujua wafanye nini ili kufika nchi ya ahadi. SASA, ni zamu yako... Kwa siku 335, tangu huu mwaka uanze nimekuwa nikiandika E-Book ya: "Wewe Ni Mgodi: Sayansi ya Kubadili Akili, Ujuzi, Maarifa na Kipaji kuwa Pesa." Pengine, hiki ni kitabu cha lazima kusoma kwa kijana yoyote wa Kitanzania ambae ana ndoto za kufanikiwa kupitia mitandao. Kitakusaidia kujua chimbo, jinsi ya kujenga brand na kuji-postion na hatimae kulima online. Kama wewe sio mmoja wao, basi hakitokufaa. Achana nacho. Hapa tunahitaji kuzalisha wakulima wa mtandaoni tu. Na Leo hii natoa Ofa ya E-Book hii rasmi kwa watu 50 Tu kwa mwaka huu 2024. Hawa watakipata kwa bei ya OFA lakini pia watahudhuria MASTERCLASS ya kukichambua kitabu LIVE. Ukibahatika kupata nafasi unapata na Bonasi zaidi ya 15, zingine za surprise. NB: Ni watu 50 tu wa kwanza. Ukikosa fursa hii umependa mwenyewe kubaki nyuma. Mpaka sasa nafasi zimebaki 45. Hata saa haijaisha. Kuwahi siti yako: Link ya bahati hii hapa. wewenimgodiebook.gr-site.com… #WeweNiMgodiOutNow
11
36
141
24,006
Meshack, nakusoma mtaalam. Ndio maana nikasema awekeze kwenye vitu vya kumpa potential ya kuongeza kipato kwa haraka, ili aweze kuwekeza bila stress for long term.
Mtaalamu Hisa ni sehemu ya kujenga na kukuza utajiri kwa muda mrefu, na sio njia ya kutengeneza pesa za haraka kama biashara au ujuzi Unaponunua hisa, unanunua umiliki wa sehemu ya kampuni. Kadri kampuni inavyokua, faida zake zinavyoongezeka, na thamani yake sokoni inavyopanda, ndivyo uwekezaji wako unavyokuwa. Kwenye HISA unajenga utajiri wa badae na sio kutengeneza pesa kwa haraka.
1
3
380
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Madini mazito sanaa uki mwaambia mtu wa hisa za thamani hii hoja ana Panik vibaya sanaaaaa.
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA, Wekeza hapa: 1. High income skills 2. Mentorship na coaching 3. Vitabu na taarifa nyeti 4. Connections na uzoefu. Hisa za 1M hazitakufikisha popote. Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
1
1
6
1,111
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Hio sio meme.
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA, Wekeza hapa: 1. High income skills 2. Mentorship na coaching 3. Vitabu na taarifa nyeti 4. Connections na uzoefu. Hisa za 1M hazitakufikisha popote. Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
1
7
426
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
β€œWekeza UTT miaka 30.” Sawa. Lakini swali ni kwamba . Je, matajiri tunaowaona leo walitumia miaka 30 kwenye UTT ndipo wakatajirika? Jibu ni hapana. Wengi walijenga biashara. Wakatake risks. Wakauza bidhaa. Wakajenga kampuni. Baada ya kupata utajiri ndipo πŸ‘‡πŸΌ
12
17
90
7,937
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA, Wekeza hapa: 1. High income skills 2. Mentorship na coaching 3. Vitabu na taarifa nyeti 4. Connections na uzoefu. Hisa za 1M hazitakufikisha popote. Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
11
38
294
10,982
Unaweza kupungua mwili mzima, nyash, kifua, miguu n.k... Ila achana na kitu inaitwa kitambi πŸ˜‚πŸ«΅πŸΎ
Define growth 2019 Vs. 2026
1
2
799
Jana Voda wamepoteza mtandao, nikatoka hewani ghafla kwa zaidi ya saa 3, nikajua line imekufa. Nikaenda, kurenew, wakala anamaliza line haisomi. Nikajua, uhuni huu tayari sio line ni mtandao. Na nikiwa hapo nikaokoa watu kama 3 wasifanye kosa. Hii mitandao inatuchukulia poa 😎
5
5
101
6,201
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara. Kimya kimya. Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH TSh 5,000,000 = ~$2,028 Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH TSh 5,000,000 = ~$1,915 Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320. Maana yake umepoteza karibu: ❌ TSh 294,320 kila mwezi ❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka Bila kupunguza mshahara wako. Bila kubadilisha kazi. Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT. Sio kwa sababu wanapenda usd. Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani. Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
109
403
2,083
202,619
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Replying to @Millambo_
Asante sana my braza. Wewe ni kioo kwa vijana. Ubarikiwe sana.
1
1
4
886
Naona vijana wamenogewa na kuset What'sapp kufuta meseji. Aisee, sijui ni mkumbo au kutokufikiri. Kama upo kwenye biashara au kujenga network unawezaje kukubali kutokuwa na kumbukumbu za wateja au washirika wa kimkakati? Kwanini? Huku nako ni kutokuwa serious na maisha!
11
9
72
2,583
Ahsante Meshack kwa Somo zuri. Nafurahi kwamba tukikutana, Wewe mtu wa maana kabisa. The new CFE in town!
Mtandao wa X haukuwa sehemu ya kupita tu kwangu, ulikuwa sehemu ya transformation. Mwanzo nilikuwa mtu wa kufuata mkumbo tu mara huku, mara kule, nakutumia muda mwingi kujiongelesha uku na kule. Lakini siku moja nikakutana na post ya Brother @Millambo_ Post moja tu ilinistua akili aisee Na hapo ndipo nikaanza kufatilia content za kujifunza kutoka kwake nakumbuka mpaka niliweka notification za post zake Na wengine wengi waliokuwa wanafundisha mindset, fedha na kujijenga. Nilipata muamsho wa kufatilia content za kujijenga zaidi na kuongeza maarifa zaidi. Taratibu nikaanza kubadilika, nikapata direction mpaka kufikia kukutana na Braza Millambo Kwa hiyo kama wewe ni kijana ambae upo umu Twitter/X, usione ni sehemu ya kuburudika, kuzurura naku -scroll pekee Inaweza kabisa kubadilisha maisha yako kama ilivyobadilisha yangu. Usichukulie poa. #ElimuBure
1
1
1
497
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Acha kuperuzi mtandao. Weka simu chini chap. Andika malengo ya miaka 5. Andika malengo ya miaka 3. Andika malengo ya mwaka 1. Andia malengo ya miezi 6. Weka malengo ya miezi 3 Weka malengo ya mwezi, wiki na kila siku. Hutakuwa kama jana. #SIKU100ZAUHURU
20
164
616
23,049
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
The most dangerous business mistake is growing without systems.
2
59
225
3,743
Project You.
What job pays surprisingly well but nobody talks about
1
139
You will make more, by going to the second phase. Knowing the right people.
A man earns based on what he knows. More knowledge brings more money.
1
1
7
222
Wapiga stori. No action. Kazi zisizonipa fulfilment.
Bro to bro: What are u starting to dislike more as u get older?
1
198
Walianza kukamata Elimu ili usifikirie kitofauti, Wakakamata afya, ili uwe mteja wa hospitali na madawa, Sasa wanakamata chakula, huko mbele hakufai, Ni muda sasa: - Wekeza kwenye afya yako - Kula chakula kama dawa - Piga tizi & zalisha vyako Afya = Utajiri No. 1.
5
16
83
1,650
Kuna mstari mwembaba sana kati ya mashabiki wa mpira, na waumini wa makanisa ya mitume. Pipa na mfuniko.
6
3
64
2,836
Binadamu wanapenda kusifiwa na kupewa heshima. Hii ni njia ya kufungua milango ya fursa kimkakati.
Uwezo wa kumfanya binadamu mwenzio akajisikia kuheshimika, kuonekana, kusikika na kueleweka unaweza kukufungulia milango mingi usiyoitegemea.
1
1
7
532
Revocatus Millambo, Ph.D. retweeted
Men pls listen to this and share πŸ™πŸ»
98
3,490
9,576
369,930