Joined February 2011
149 Photos and videos
Pinned Tweet
TUSIKOSE JUMAPILI HII. BY THE GRACE OF MY MAN OF GOD, UEBERT ANGEL THAT IS UPON ME, be ready to PARTAKE every Grace. Kumbuka ni JUMAPILI YETU YA KWANZA YA MWAKA, NJOO UMEJIANDAA KUPOKEA. @UebertAngel #ZOEEMBASSYGLOBAL
2
5
401
Simon Nguye retweeted
Kuwait has banned the recruitment of domestic workers from Kenya and 26 other countries under new labour recruitment rules.
260
1,835
7,612
188,767
Simon Nguye retweeted
KWAKUWA NI HALALI KWA WAZANZIBARI KULINDA HAKI ZA WAZANZIBARI HAIWEZI KUWA HARAMU KWA WATANGANYIKA KULINDA HAKI ZA WATANGANYIKA. Kwa yanayoendelea kujitokeza katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuhusu kujitanabaisha kwa misingi ya Uzanzibari na kulinda maslahi ya Zanzibar, je, si wakati sasa kwa Watanganyika nao kuzungumza kwa uwazi, kuhoji kwa uhalali na kujadili kwa kina masuala yanayohusu haki, hadhi na maslahi ya Tanganyika? Je, Watanganyika hawana haki ya kuhoji na kulinda: 1. Bandari zilizopo ndani ya Tanganyika. 2. Misitu na rasilimali za mazingira za Tanganyika. 3. Rasilimali za asili zilizopo katika eneo la Tanganyika. 4. Hadhi, haki na umiliki wa ardhi ya Tanganyika. 5. Nafasi, haki na uwepo wa watu wasio Watanganyika katika idara na taasisi ambazo si za Muungano. 6. Uhalali wa viongozi wasio Watanganyika kuingia au kusaini mikataba inayohusu rasilimali za Tanganyika, hususan pale ambapo baadhi ya masuala hayo tayari yameondolewa katika eneo la Muungano kwa upande wa Zanzibar. 7.Kuhoji mchango wa Zanzibar katika kugharimia gharama za uendeshaji wa shughuli za Muungano na Ulipwaji wa Deni la Taifa. Ikiwa ni halali kwa Wazanzibari kujadili, kuhoji na kulinda maslahi ya Zanzibar kwa misingi ya utambulisho wao wa kisiasa na kikatiba, kwa mantiki hiyo hiyo haipaswi kuwa kosa kwa Watanganyika kuhoji, kujadili na kutetea maslahi ya Tanganyika. Katika mfumo wowote wa haki, usawa na kuheshimiana ndani ya Muungano, haki ya kulinda maslahi ya Zanzibar haiwezi kutenganishwa na haki ya Watanganyika kulinda maslahi ya Tanganyika. Haki hizo zinapaswa kutambuliwa kwa usawa, bila upendeleo na bila kuonekana kuwa ni tishio kwa Muungano, bali kama sehemu ya kujenga Muungano wenye misingi ya haki, uwazi na kuheshimiana. UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo Msingi bora wa kuliongoza Taifa kutoka katika vitendo vya Ukatili dhidi ya ubinadamu,ukiukwaji wa Haki za Raia na,Mauwaji na Utekaji vilivyofanyika kanla,wakati na Baada ya Tarehe 29 Oktoba 2026. BAK MWABUKUSI.
65
392
1,207
31,367
Simon Nguye retweeted
Del Monte Kenya has moved from a pineapple-only farm to a diversified agribusiness. It now grows other fruits, produces biofertilizer from farm waste, and is expanding work in water use, land management, and community programmes.
59
383
2,054
39,826
Simon Nguye retweeted
Hii movie ya Gabo ni nzuri sana tatizo linakuja kwake kutotaka kutoa credit kwa muhusika na mwandishi wa simulizi hii bwana Sammy Segumba. Tujifunze ku appreciate jitihada za watu kijana kaandika kawa director kwenye Filamu yako unashindwa hata kumtaja really???
66
65
911
78,606
Jifunze kila katika Maisha yako usichukulie personal ๐Ÿ˜ƒ
2
20
Simon Nguye retweeted
Kenyan President William Ruto said allowing the US to build an Ebola quarantine facility in Kenya was the โ€œright thingโ€. At least two people were killed this week in protests against the facility, which is being built on a US air force base for Americans exposed to the virus.
103
323
676
57,914
Simon Nguye retweeted
Jun 4
Kenya's cabinet secretary for health is asking for USD 20 million (KSh2.6 billion) to prepare for the first 100 Ebola cases. Which Ebola cases? From where? Ebola Billionaires.
171
3,766
12,893
159,594
Simon Nguye retweeted
Tukuwe serious kidogo Hanifa. What prevented these ladies/women from seeking legal redress via courts? I believe if the UGM party were unfair then the courts would have done better. Or did the party also prevent them? Did they report to the police? OB? Also read 17.
The other survivors that followed their due process were granted unfair reporting and conclusions which they actually voiced out why are you not stating that? Youโ€™re saying four women maliciously came together to tarnish the campaign? Ni sawa.
46
394
1,464
41,089
Simon Nguye retweeted
Maraga arriving at the matriarchโ€™s grief sit-down with flowers and a clear desire to command attention is deeply distasteful. Coming from someone whose campaign sidelined women after mishandling sexual harassment allegations, the optics are particularly troubling. Some moments call for humility, not political theatre.
120
1,037
2,468
427,528
Simon Nguye retweeted
Kazi ya commercial Activists Ni kupiga picha mbele ya tear gas Na kupotea. Real activists ndo uumia. I was happy ata Trump stopped USAID for a reason. NGOs Na donors ni a source of problems in our country.
8
100
431
4,780
Happy World Milk Day 2026!! Rwandaโ€™s milk production reached 1,152,514MT in 2024/2025, highlighting the steady growth of the dairy sector and its contribution to nutrition, livelihoods, and economic development. #WorldMilkDay2026 #AgriUpdatesRw
1
34
78
3,847
Imagination can become reality. Unfortunately,most people stop at imagination.
7
16
55
1,056
Simon Nguye retweeted
May 31
Kanye West, also known as Ye, who has been barred from performing in several countries due to past antisemitic โ€‹comments, drew more than 100,000 fans to a โ€Œconcert in Istanbul on Saturday night. cnn.it/4upU8Bz
582
1,165
11,579
921,731
Simon Nguye retweeted
Hawa ni Dorper sheep ama hapana? Seen someone selling them. Anasema moja Ksh 4500.
12
7
32
4,460
Simon Nguye retweeted
๐Ÿ„ Premium 7-Month Incalf Pedigree Heifer Available ๐Ÿ”น Excellent body condition ๐Ÿ”น Superior dairy genetics ๐Ÿ”น Perfect for expanding or upgrading your herd ๐Ÿ“ž 254713802746 Book yours today and invest in quality that pays back for years to come ๐Ÿ„๐ŸŒฑ๐Ÿ”ฅ x.com/JimmyWanjiru5/status/2โ€ฆ
11
56
71
1,680
GENETICS ๐ŸŒพโœ…๏ธ Farmers here in got 2 super gaints pedigree 8months incalfs with a well followed steaming regime โœ…๏ธ Both are served with selected semens from WWS โœ…๏ธ Pricing 580,000/_kes both ๐ŸŒพโœ…๏ธ Call/whatsup 254713802746 for purchase & delivery
1
6
7
6,486
QUALITY MATTERS SUCCESSFULLY DOWNLOADED 2 LOVELY SHE CALFS โœ…๏ธ We never compromise with quality dairy breeds ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ Order yours today ! 254713802746
GENETICS ๐ŸŒพโœ…๏ธ Farmers here in got 2 super gaints pedigree 8months incalfs with a well followed steaming regime โœ…๏ธ Both are served with selected semens from WWS โœ…๏ธ Pricing 580,000/_kes both ๐ŸŒพโœ…๏ธ Call/whatsup 254713802746 for purchase & delivery
3
28
29
2,056
Simon Nguye retweeted
These bean varieties have some funniest local names. Like "Sura mbaya" "Mwezi moja" "Mrembo" add yours๐Ÿ˜
44
71
234
11,360
Simon Nguye retweeted
Save your seeds now before it's too late. The future will be harsh to the dependants. Remember, 75% of world seed industry is controlled by 5 Companies. Save Seeds Now!
40
1,615
4,379
422,344
Simon Nguye retweeted
May 30
Goal for PSG - Dembele scores via the penalty spot. ๐Ÿ”ต 1-1 ๐Ÿ”ด (65)
1,013
591
7,251
891,113