Joined March 2021
1,564 Photos and videos
Pinned Tweet
21 Apr 2024
Biblia Kutoka 15:23 "Walipofika mahali palipoitwa Mara hawakupata kuyanywa yale maji ya Mara, kwa kuwa yalikuwa machungu; kwa ajili ya hayo jina lake likaitwa Mara". Good Morning watu wa Mkoa wa MARA
41
97
335
36,786
Timber TZA retweeted
usipoteze muda kuwaridhisha watu yawezekana wewe siyo kipaumbele chao
3
6
22
314
Kwanini wacheza soka wanapenda kupiga picha wakiwa wamewainamia wenzao waliosimama?
8
6
34
2,282
Timber TZA retweeted
Pambania unachokihitaji ila siyo kwa kuumiza wengine tena kwa shutuma za uongo kwasababu tu unajua wana uwezo kukuzidi. Mungu anatoa kwa inavyompendeza yeye. Good morning X Familia 👊🏾
54
66
114
1,737
Timber TZA retweeted
Kwenye kutafuta maisha usijilinganishe na wengine kumbuka kila mtu ana mwendo wake Kumekucha tena wapendwa Good morning ❤️🌹
57
62
111
1,788
Timber TZA retweeted
Kwa sasa ukitendewa wema basi hakikisha unarudisha wema kwa mtu yule yule maana watenda mema wenyewe ni wachache,wanatakiwa kutiwa moyo. Wabaya ni wengi sana,wabinafsi ndio usiseme. Be good,do good,the world needs it. Good morning fam.
47
55
89
991
Timber TZA retweeted
Is it that lawyers love Rugby or what 😂Every rugby club I've been to at least has someone called Wakili.
6
16
58
14,013
Timber TZA retweeted
📱HONOR MAGIC 6 PRO 512GB |Ram 16GB White color🤍 BEI: 1,550,000/= Tsh - (Exchange Top-Up & Cash Deals) Tel. 255 628 139 218 Tel. 255 747 689 218 📍Kariakoo. Aggrey street
7
16
21
503
Timber TZA retweeted
Ushawahigi kununua simu ukaaminishwa ni 108MP camera yake ni ya hatari SANA, alafu ulivyopigia picha ukajuta? Tupeane uzoefu hapa chini! 📱👇
100% NDIO
0% HAPANA
3 votes • Final results
1
2
66
Timber TZA retweeted
📌HAKIKISHA Kwenye sifa za simu (Specs), angalia camera kuu. Tafuta sensor kubwa kama ya inchi moja (1.0") au namba kama 1/1.3". Kama ukikuta namba ni kubwa kuelekea juu kama 1/2.0" au 1/2.5", hiyoo ni sensor ndogo sana—ikimbie! Quality ni bora kuliko namba. 📱
1
1
4
62
Timber TZA retweeted
AD: Nisapotini wadau sina kazi nyingine mjini hapa🙌🏽 WARRANTY NI MWAKA MZIMA NATOA🤝✅
Kindly Retweet🙏🏽 ▪️Pixel 9 128GB 1,150,000/= ▪️Pixel 9 pro 128GB 1,380,000/= ▪️Pixel 9 pro 256GB 1,480,000/= ▪️Pixel 9 pro xl 128GB 1,450,000/= ▪️Pixel 9 pro xl 256GB 1,550,000/= FREE: Cover Protector & Charger 🔌 - (Trade-In & Cash Deals) Tel. 255 628 139 218 Tel. 255 747 689 218 📍Kariakoo. Aggrey street
1
2
5
67
Timber TZA retweeted
💡 Ushauri wa bure: Ukienda kununua simu, "Google" jina la hiyo simu kisha nenda kwenye sifa zake (Specifications) upande wa Main Camera.
1
1
3
49
Timber TZA retweeted
3: Megapixel kazi yake nini? Megapix (MP) Inakwambia tu ukubwa wa picha uki-zoom, haileti uzuri! Ukiweka Megapixels 108 kwenye sensor ndogo ya simu ya bei rahisi, bila software kali ya kusafisha picha, utapata picha za hovyo, giza, na zimejaa ukungu kama upo kwenye moshi
1
2
5
83
Timber TZA retweeted
AD: Nisapotini wadau sina kazi nyingine mjini hapa🙌🏽 WARRANTY NI MWAKA MZIMA NATOA🤝✅
Samsung S25 Ultra 📦 ⚙️256Gb 💰2,200,000/= Tsh FREE: Cover Protector & Charger 🔌 Make a Direct Call for any inquiries. - (Trade-In & Cash Deals) Tel. 255628139218 (Calisah) 📍Kariakoo. Aggrey street
1
2
3
76
Timber TZA retweeted
2: Image Processing: Ukipiga picha, simu haipigi picha moja, inapiga hata 10 kwa mpigo bila wewe kujua! Kisha software ya simu inachukua sehemu kali kali kwenye kila picha na kuziunganisha kuwa picha moja matata sana. Ndio maana picha inajiprocess yenyewe na kuwa nzuri zaidi.
1
2
3
310
Timber TZA retweeted
1: Sensor ndio mchawi! Hili ni kama "jicho" la camera ndani ya simu linalokusanya mwanga. Fikiria unakinga mvua: Ndoo kubwa (Sensor kubwa) itajaa maji (mwanga) haraka kuliko kikombe. Sensor ikiwa kubwa, picha inakuwa na mwanga na rangi tamu sana hata kukiwa na kamwanga kidogo.
2
3
3
130
Timber TZA retweeted
"Oi mwanangu, hii simu ina camera ya 200MP, inatisha sana!" 😲 Ukiona mtu anasifia simu kwa Megapixel, jua ameingizwa mjini. Kwenye picha kali, MEGAPIX ni geresha tu. Siri nzima ipo kwenye Sensor na jinsi simu inavyochakata picha. Shuka na uzi huu mfupi nikuibie siri yote: 🧵👇
5
16
21
918
Timber TZA retweeted
Hiyo misitari 2 ya mwisho ndio changamoto ya wengi sasa Mungu atusaidie 😁🙌 Good morning everyone 😊🖐
21
34
57
1,042
Kipi kigezo cha kupata kazi Kiwanda cha kutengeneza Kondomu?
7
9
17
1,778
Timber TZA retweeted
Imagine, Kuna washikaji watatu walikuwa na mapenzi na upendo wa kweli kwa MUNGU walikuwa tayari kwa lolote hata kufa Meshaki, shadiraki na Abeligeno. Kwa kitendo hicho kikamfanya Mungu awe tayari kuwalinda kwa hali Yoyote. MUNGU hana ushirika na Mtu yeye ni mwanzo usio na mwisho Happy Sunday fam 😊😊🖐 Hakika ukimtanguliza MUNGU mbele bila kumshirikisha na chochote na yeye anakuwa tayari kukutete kwa lolote!
14
34
69
1,586
Ni lini Afrika itafuta dini zilizoletwa na Wazungu?
15
5
25
2,491