Joined February 2012
35 Photos and videos
If you spend personal time with politicians, you will see the disdain most of them have towards the voters
1
12
Mbaraka Kahangwa retweeted
Replying to @__mdau
Powerful!
1
2
18
A life well-lived isn’t measured by possessions it’s measured by the hearts you touch. We arrive empty-handed and leave the same way.
1
1
2
18
Mbaraka Kahangwa retweeted
Replying to @goligani
Narcissistic nature, they never settle love as they feel uncomfortable all they want is control over your life. Never say sorry, No accountability, They always find a scapegoat to lay all blames upon but with strong mind you can starve them to the extent that will humble them.
1
3
144
I THINK EVERYBODY SHOULD GET RICH AND FAMOUS AND DO EVERYTHING THEY EVER DREAMED OF SO THEY CAN SEE THAT IT'S NOT THE ANSWER.
5
Mbaraka Kahangwa retweeted
Replying to @Sirajitz1
Inawezekana kabisaaa Settings Notifications Advanced settings Notification history Hapo unazikuta zote next time sifundishi bure @pop0bawa @firstborn256 @kabokamchizi @mastermind @miss___yanga @Maziku_Andrew1 @WideEdson @officialmtanga
2
1
128
Mbaraka Kahangwa retweeted
Dakika 60 - 90 baada ya kuamka ni kwa ajili ya kuwa “Intentional” na siyo “Reactive”. Tafiti za zinasema hiki ndiko kipindi (Window period) ambacho “Mind” yako ni rahisi kuwa ‘Programmable’. Na ndivyo ilivyo kwa siku yako. [Kisayansi inatoka kwenye Theta state (Sub-concoscious) kwenda kwenye Beta state (Conscious) ambayo utaishi kwa siku nzima]. Hivyo siyo kwa ajili ya ‘Submission’ kwa matukio ya nje bali ni kwa ajili ya ‘Control’ ili kuifanya siku yako iwe na maana. Bahati mbaya sana wengi wetu tukiamka tunakimbilia simu na kuanza kuangalia reels za insta, TikTok, kucheki notifications, meseji n.k. na kuwa katika hali ya ‘Reactive Mode’. Hivyo unashauriwa kufanya yafuatayo ili kuweza kuvuna nguvu iliyopo katika muda huu baada ya kuamka na kuifanya siku yako ‘Intentional’. 1. Epuka kutumia screen baada tu ya kuamka. 2. Jijengee utamaduni wa kusali au kushukuru kila asubuhi. 3. Pata mwanga wa jua mapema. 4. Andika hisia zako kwa ajili ya therapy (Expressive writing). 5. Ogea maji ya baridi 6. Fanya mazoezi tu madogo ya kujinyoosha (at least dakika 7). Siyo lazima kuanza na kila kitu kwenye list lakini, unaweza kuchagua moja itakayokufaa na kuongeza zingine taratibu. Akili yako asubuhi ni kama Chujio. Chuja. Usipitishe matakataka. Ni kweli maisha muda mwingine haiendi na plans zetu lakini, tufanye yale yaliyo katika nafasi yetu kwa usahihi and God will take care of the rest. Uwe na siku njema. NB: Ni-follow @EdwinMjeru ili tuendelee kujifunza pamoja kupitia mada mbalimbali kama nilivyoainisha kwenye pinned post. EFM.
2
10
31
1,238
Gyms and Churches aren't Emotional Hospitals. Mnawasumbua Wachungaji na Ma-Trainer, Sycophants (Yes-man) & Obsessions are prevalent population in these places.
8
Kuna level of fitness unajua tu uyo mtu hana social life and people who love them. Huna Nidhamu na Maisha yako, Huna nidhamu na Jamii Yako alafu Kiburi Unapelekea Machuma, Isipojibu Unakimbilia Kanisani. Hakuna Cha Self-love Ni Emotional Damage Inasumbua.
32
Mbaraka Kahangwa retweeted
Kujifunza kupitia makosa yako ni UZOEFU; Kupitia makosa ya wengine ni HEKIMA.
3
14
69
817
Mbaraka Kahangwa retweeted
This is how the experts create coffee art ☕️
29
419
3,773
347,079
Kumtafutia mtu kazi sio kumtumia tangazo la kazi aombe bali ni kumwambia tarehe flani aende kwenye interview au apeleke vyeti Jumatatu aanze kazi. Mnawachelewesha Majanja Kama huna "Link" Unatuma Matangazo so what!? Unaamini miujiza zama hizi!? Unafiki Everywhere!
18
HATUANGALII TULIPOTOKA Macho yetu yamejikita tulipo, na kutazamia kule tunakokwenda. Lakini, kwa umuhimu na unyenyekevu wa historia yetu,Tumejifunza na tunajifunza! Ili kutoruhusu makosa ya kale kuchafua ukurasa wa sasa, wala kufifisha nuru ya kesho yetu Cc: Mentor Jimmy
257
Those you have forgiven might not forgive you. Those you have given to might not give to you. Those you have supported might not support you. Those you have loved might not love you. But, your forgiveness, giving support, & love are not wasted. God sees, knows, & repays.
20
Mbaraka Kahangwa retweeted
“Unaonekana/Unaambatana na Nani?” Kuna “Leverage” kubwa ambayo unaweza kupata kupitia “Credibility” ya watu wengine. Kuna Broo mmoja ni Mwanasheria, alipomaliza Law School pale Simu 2000, maisha yake yalikuwa magumu kichizi. Alifungua ofisi yake Tegeta, but kupata wateja ilikuwa kimbembe. Katika harakati za hapa na pale akabahatika kukutana na ‘Senior Counsel’ ambaye ana uzoefu na ‘Credibility’ kubwa kwenye industry. Akamwomba awe Mentor wake. Bahati nzuri ‘Senior Counsel’ akakubali. Appointment ya kwanza walikutana restaurant tu maeneo ya mjini na kupiga msosi. Appointment ya pili, Mentor alimvutia tu waya akamwambia, “Wiki ijayo twende Mahakamani Kisutu kuna kesi moja ambayo nataka unisaidie kuchukua dondoo za rejea jinsi itakavyoenda”. Jamaa bila kusita akaenda, na akafanya kama ambavyo Mentor alimwambia. Siku zilifouata jamaa akawa anaendelea kuambatana na Mentor wake kushiriki kesi za hapa na pale na kupata msosi na social life siku kadhaa za Wikiendi. LAKINI, jamaa akawa anajiuliza tu kichwani, ‘Mbona Senior hanipi kesi wala haniunganishi na wateja direct’. Akawa na wasi wasi kidogo. LAKINI, baada ya miezi kadhaa simu zikaanza kuita, “Hallo, Wewe ndiyo......tunakuonaga na Wakili XYZ?” Pia, Mentor wake akaanza kupokea simu, “Kuna kesi XYZ, in case ratiba yako imejaa, tuunganishe na yule dogo tunayekuonaga naye”. Kuanzia hapo, jamaa akawa ameshatoboa. Sasa hivi ni Wakili maarufu sana mjini na anawaidia watu wengi sana katika kesi mbalimbali. Siyo hivyo tu, ofisi yake pia imetengeneza nafasi za ajira kwa vijana wengine. Tunajifunza Nini kupitia Broo; ‘Credibility’ ya watu wengine ni ‘Leverage’ yenye nguvu sana. >Kuna watu wakikupa ‘Access’ ya kuambatana au kuwa nao karibu wanakugawia ‘Trust’ yao ya watu kwako. Mfano, huyu jamaa yuko na Kibatala siku hizi, basi atakuwa yuko vizuri. >Kuna watu hawatakupa pesa kutatua shida zako za Leo, lakini watakufungulia mlango wa fursa itakayokusaidia kupata pesa ya kutatua shida zako za kila siku. >Daima, unapoona kuna uwezekana wa kupata ‘Leverage’ kutoka kwa watu wengine iwe ni kupitia Platform, Associations, mafanikio au kufeli kwao, Mentorship, Referrals, nakadhalika - Aisee ‘Grab it’. > Usiteseke ku-build kuanzia sifuri kama kuna mtu anaweza kukusogeza ukaanzia kwenye 1 au 2. NB: Kuwa makini sana usimwangushe aliyekuadhaminisha ‘Credibility’ yake. Above all, Ukisaidiwa kusimama, na wewe saidia wengine. All the best. NB: Ni-follow @EdwinMjeru ili tuendelee kujifunza kupitia mada mbalimbali kama nilivyoanisha kwenye pinned post. RT. EFM.
5
19
74
3,084
Mbaraka Kahangwa retweeted
The IMPACT FILTER (Chujio la kuchuja unachokifanya); 1. Je, watu wana uhitaji na unachokifanya? 2. Je, una uwezo wa kufanya hicho kitu katika namna ya kipekee? 3. Je, watu wako tayari kulipia? 4. Je, katika unachokifanya uko replaceable kirahisi? Think about it! Uwe na wiki njema!
9
25
527
Ya Hayyu Ya Qayyum
30
Mbaraka Kahangwa retweeted
Mungu hawezi kukupa kile ambacho wewe unataka lakini hutaki wengine wapate. Yaani, kipimo cha kwanza cha MAFANIKIO ni kuweza kufurahia watu wengine wakiwa na vile vitu unavyotaka wewe kuwa navyo. Kama hupendi kuona wengine wakipandiswa cheo, itakuwa ngumu pia wewe kupanda. Kama hupendi kuona wengine wakianzisha biashara, au miradi; itakuwa vigumu sana wewe kuanzisha. Kwa sababu MAFANIKIO ya wengine ni kioo kwako. Kama hupendi kujitazama na kufurahia kupitia MAFANIKIO yao, itakuwa ngumu sana wewe kujiona ukifanikiwa.
3
14
53
815