Shetani na wafuasi wake hawaoni aibu kufanya mambo yao yasiyofaa kutazamwa na kusikiwa na jamii, ila wafuasi wa Mungu wakati mwingine wanakosa ujasiri wa kufanya yale Mungu anapendezwa nayo. Sababu ni kukosa fundisho sahihi na ujazo wa Roho Mtakatifu.
Hakikisha unakua mwanaume ambae Mungu alitaka uwe, sio jamii inavyotaka uwe. Anza kubadilika wewe kisha jamii itapenda mtindo wako wa maisha na wataanza kubadilika taratibu na kuanza kuiga mfumo wa maisha kutoka kwako.
Nchi ya #DRC ambayo inakabiliwa na mlipuko wa #Ebola, mashirika ya kibinadamu yamesema kushinda mbio dhidi ya ugonjwa huo kunategemea kwanza kabisa kupata imani ya jamii.
Soma ⤵️kilichotekelezwa na @WHO na @IFRCAfrica ili kupata imani ya wananchi wa DRC.
news.un.org/sw/story/2026/06…
Kuna times 2022 and 3 nilikua natoa 150 sausands pesa taslimu kwa msahara yangu kulipa employees paka jamii Sacco ikaokolea na loan. Msee in business you can go even a whole year bila profits😂. Achaneni na izi theories zenyu za paper and do an actual business legit and pay taxes.
Akizungumza katika hafla hiyo, amesisitiza umuhimu wa taasisi kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kupitia programu za uwajibikaji kwa jamii (CSR) ili kuboresha huduma za kijamii, hususan sekta ya afya.
Vyombo vya habari vinapotekeleza usawa wa kijinsia kwa vitendo, vinachangia kujenga jamii yenye haki na ushirikishwaji wa fursa sawa kwa wote.
#WomenInMediaTz@TAMWA_
Shida ni kwamba mnadhani bado ajenda za miaka ya 90 zinafanya kazi kwa wananchi.
Jamii imeelimika, acheni upumbavu. Unataja Chadema kulipwa na wazungu?
Wazungu gani ambao chama kinapata pesa kutoka kwao halafu msajili hajui chanzo cha mapato ya chama hicho?
Hao wazungu si ndiyo ambao Kombo yupo busy kuwaplease wasikate bill Bongo?
Hakuna maendeleo yoyote yanayo weza kujengeka katika Jamii yenye maumivu makubwa namna hii.
Cheo hakiwezi kuwa na thaman au Heshima ikiwa watu wanalia na kuteseka namna hii.
UVCCM mna nufaika nini katika Mateso ya namna hii kwa vijana wenzenu??
Ni ushamba tu unatusumbua. Kuna filosofia ya kutoa majina duniani na kwenye jamii. Unadhani kwanini EFF wanafanya kampeni Uwanja wa ndege wa Cape Town uitwe Winnie Mandela? Unadhani kwanini Dulles ilipewa jina hilo la Waziri tu Marekani while Rais aloshinda vita alikuwepo? Why not S
Roosevelt? Why not Eisenhower? Unadhani why Texas walimpa uwanja George Bush mkubwa? Kuna filosofia. Nenda Zambia uone alichofanya Michael Sata kwa kina Kapwepwe na Nkumbula. Tuache ushamba tu
1
16
Ministry of Labour and Social Protection retweeted
1/4 @PS_JosephMotari today led a sensitization forum for Inua Jamii beneficiaries in Nyandarua County aimed at enhancing awareness of the M-Pesa payment model. The three-day exercise brings together beneficiaries of the Older Persons Cash Transfer Programme and caregivers of