Filter
Exclude
Time range
-
Near
14 Dec 2025
soloto.pro/ Take action send screenshot your in the web gat 1,500 #BBTC. Buy ticket get 5,000 #BBTC push game on chin live . #JoinTheChain #ActivateNow #TryItNow #ExploreOnChain #GetInEarly #EarlyAccess #LiveOnChain
92
21
38
1,206
14 Dec 2025
New design web3 lotto on chin 🥷🏻 solotto.app/ Go Chack put screen shot you in the web you get 1,500 #BBTC If you buy ticket you get 5,000 #BBTC #JoinTheChain #ActivateNow #TryItNow #ExploreOnChain #GetInEarly #EarlyAccess #LiveOnChain
28
3
8
422
🚦 The green light is on. Buy. Stake. Run a node. Phase 2 is your entry to Web3 utility. $MIRX #MiracleChain #JoinTheChain
11
19
38
4,102
🌟 @irys_xyz is in the checkbox — truly top-notch! These games are more than just projects. They evoke emotions, surprise with details, and create an atmosphere you want to immerse yourself in. Every detail is masterfully crafted: from the visuals 🎨 and music 🎶 to the captivating gameplay 🎮. 🚀 Don’t miss out — join the chain! #BelieveInDatachain #JoinTheChain #Crypto #Irys
4
135
🎯 Your next move: Buy. Stake. Run a node. Be part of Phase 2 before the rest catch up. $MIRX #MiracleChain #JoinTheChain
1
3
8
156
Guuleed is smiling because someone like you believed. Your share became his pencil. Your heart became his hope. 💙 HopeChain = change. #JoinTheChain #ChildrensHope #Web3ForImpact #CryptoWithHeart
2
2
15
Ready to Be a Gamechanger? The Arichain ecosystem is EXPLODING! Whether you're a #DEV, a #FOUNDER, or just deeply #CURIOUS, the time to jump in is NOW! 👉 Dive in to know more: arichain.org 👉 Join the fam: discord.gg/arichain #JoinTheChain #GMARI

1
7
324
3 May 2025
🎉 Congrats to @linera_io on reaching 400,000 followers on Discord! That’s not just a number — it’s a massive community built on vision, code, and vibes. This kind of momentum doesn’t happen by chance — it’s a signal. Linera is becoming the Web3 infrastructure. 👇 Drop your congrats below and join the fam: discord.gg/linera #Linera #Microchains #Web3Community #Scaling #BlockchainInfra #LineraDiscord #DecentralizedFuture #Web3Momentum #JoinTheChain Real-Time Blockchain, @linera_io, #microchains⚙️
1
22
408
6 Apr 2025
Replying to @JamiiForums
Tena huyu Kipara kama mkurugenzi wa mawasiliano alipaswa kutupa mrejesho wa #joinTheChain ulifikisha shingapi lakini badala yake alikua anatupiga kamba kila akiulizwa, apuuzwe
1
3
97
3 Apr 2025
Give us your best RECOMMENDATION. Chama cha SIASA kinaendeshwa kwa.... RUZUKUMICJANGO MBALI MBALI ya wapenda HAKI Sasa tueleze wewe nini kifanyike @Kenyamonta2000 usilalamike nini kifanyike ? Kumbuka @freemanmbowetz aliongoza #JointheChain na hukukosoa ile KAMPENI !!
1
1
4
78
25 Jan 2025
Hamna kisingizio cha kutojiunga na @ChademaTz jisajili na ujipatie kadi yako ya daraja ulitakalo. Nitamshauri Mwenyekiti wetu wa CHADEMA taifa Mhe. @TunduALissu pamoja na katibu mkuu wetu @jjmnyika na naibu katibu @golugwa warudishe tena #JoinTheChain lakini ifanywe kwa uwazi.
6
42
108
1,935
20 Jan 2025
KM Mnyika umepoteza Sifa Wewe na wenzako hamna tofauti na Maccm, itabidi tufatilie vizuri kuhusu Hela za #JoinTheChain maana inaonekana nawewe ndo walewale tu Wapigaji, na Watoa Rushwa
1
451
Kesho ndio leo. Wadau wa demokrasia tupo tayari kuona #Accountability kwenye #JoinTheChain
Press Conference Kesho. Ukumbi mtajulishwa baadae leo , waandishi wa habari karibuni wote.
2
2
33
1,438
17 Jan 2025
Replying to @jjmnyika @ChademaTz
Katibu mkuu anakuja kutoa ufafanuzi leo baada ya kusikia Lema ataongea kuhusu kupindua chama kwa fedha za #jointhechain, unasema hujawahu kuulizwa kwani leo nani amekuuliza? Wakati siku zote ulikuwa kimya wakati watu wakihoji hatma ya hizi fedha?
8
662
16 Jan 2025
Replying to @jjmnyika @ChademaTz
WENJE AMESEMA #JoinTheChain zilikusanywa PESA na Lema, Lissu, Heche na Msigwa kwa ajili ya kumpindua Mbowe akiwa Gerezani. Kwasababu kuna idadi kubwa ya wananchi waliomsikiliza na wengine watamwamini ikizingatiwa chama kimempitisha kugombea nafasi ya uongozi. MNAMFANYAJE WENJE?
1
14
885
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika ametolea ufafuzi kuhusu madai yalitolewa na Ezekiah Wenje kuhusu matumizi ya pesa za kapeni ya 'Join the Chain' "#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na @ChademaTz kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022. Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya . Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022. Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371. Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu. Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi." Amendika Mnyika
5
6
1,393
Hii ni silaha ya kwanza. Bado Lema hajaongea kwenye press kesho. Hapa ndio wanachama kina @YerickoNyerereT @Ntobi_ na wengine wengi wajiangalie. Maneno kusema #JoinTheChain ililetwa na Mhe LISSU ili kupindua Mbowe ni upumbavu wa kiwango cha Degree 15. Jitafakari upande uliopo.
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na @ChademaTz kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022. Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya . Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022. Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371. Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu. Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025
3
18
59
2,079
Hongera sana kwako kwa kutoa ufafanuzi huu. Utakaofanya na wengine watulie kuja kujibu mambo kwa kina na pengine wataharibu zaidi. Lkn Mh @jjmnyika kama mwanachama kaongea uongo kuwa #jointhechain ilikuwa na lengo ovu kwa mwenyekiti kwann asichukuliwe hatua za kinidhamu?
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na @ChademaTz kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022. Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya . Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022. Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371. Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu. Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025
7
18
102
5,241
Replying to @jjmnyika @ChademaTz
Mhe. Sisi mpaka leo mchana tulikuwa tunajua Pesa iliyokusanywa kwenye Kampeni ya #JoinTheChain mliitumia kwenye harakafi za Kumpindua FAM, hata hela alizokuwa anakusanya FAM za #JoinTheChain nayeye alikupa wewe uwape akina Lema, Msigwa na TAL ili wampindue.
271
#HABARI Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu sintofahamu zinazoendelea juu ya kampeni ya #JoinTheChain iliyofanyika kati ya Februari na Mei 2022. Kampeni hiyo ilikusudia kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia shughuli za chama, hususan Mkutano wa Baraza Kuu la Mei 2022 na operesheni za kudai Katiba Mpya. Mnyika amesema kuwa kampeni hiyo ilikusanya jumla ya shilingi milioni 371, ambapo shilingi milioni 114 zilipokelewa moja kwa moja kupitia akaunti ya benki na nambari za simu. Fedha hizo zilitumika kugharamia sehemu ya shughuli za Baraza Kuu, ambalo pia lilisikiliza rufaa za wanachama waliokuwa wamefukuzwa maarufu kama #Wasaliti19.
266