hakisadiki kisa kama moshi wa shisha,
leo nadata kichwani kabisa mahurani yamepata sipati picha,
nashika kiboko nyoko kama ticha licha,
madogo kibao nimewaficha,
mkononi siwaoni kama filter,
nikihesabu kitita nawakunja usoni kama ndita,
Watengwa - Miaka mingi🔥🎶🎤