Filter
Exclude
Time range
-
Near
katika kipindi chote, na pengine kuna wengine wanadhani kuna nguvu ishawahi kutumika mahali, kwenye kikao hiki nataka niwathibitishie yalikuwa ni majaribio kutumia nguvu kulinda amani.” Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza hii leo na Wenyeviti na
1
4
Nimeona pia kwenye Mitandao baadhi ya Watu wanatamani kuleta chokochoko kwenye Mikoa yetu, na kwa bahati mbaya sana nguvu inayotumika katika kulinda amani wakati mwingine inakuwa ya kawaida sana, nguvu zitakazoendelea kutumika kulinda amani pengine haijawahi kutokea wala kuonwa
1
3
3
7
Grayhair retweeted
Ni utaratibu tu wa kawaida huu pengine yanatoka bandarini kwenda kambi husika havihusiani na vitisho
‼️MAGARI YA JESHI YANASAFIRISHWA KWENDA WAPI🙄‼️ Jana nimepewa habari na watu kuhusu kuonekana kwa mahgari ya kijeshi yakibebwa MSITUUZIE WOGA ❌ Na nyie JW labda kama ni utaratibu wa kawaida ila msitoe vifaru kutisha wananchi mnaotakiwa kuwalinda! Haya! Jumbe mbili zenye data na video hizi hapa: 👉🏽 “Kuna Magari yamesombwa Jana Usiku ilikuwa mida ya saa tano usiku Nilikuwa nzega niliyaona Yamebebwa Kwenye sem (Long Vehicle) yakiwa yamefunikwa Turubai. Semi zilikuwa kama 8-10 Kwa kila Semi kulikuwa na Gari la Jeshi 04 Yakiwa na Escort na Gari la Jeshi hayo magari nadhan Watakuwa Wanahitaj Kuyasambaza juu yako kwa Mfumo wa Vifaru sasa Wenda Wanahitaj Kuja kutishia watu kanda ya ziwa juu ya Maandamano ya 7/7” 👉🏽 “Jana, msafara wa magari ya Jeshi uliosafirisha vifaru ulionekana ukitokea njia ya Dodoma–Iringa. Vifaru hivyo vilikuwa vinasafirishwa kwa magari ya kiraia, yakisindikizwa na magari ya Jeshi na wanajeshi. Inadaiwa magari ya upande wa Iringa yalisimamishwa eneo la Mlima Nyang’oro kupisha msafara huo.” Tupo rada na hatutishiki! 7/7 loading na #TutaelewanaTu
1
1
9
1,097
Mabilioni ya galaxy haimaanishi uwepo wa uhai/maisha mahali pengine. We can't even assume that. Lakini hayo ni mawazo ya "kiimani" yasio na uthibitisho wowote wa "kisayansi" kutoka kwa watu wanaojaribu kumuondoa Mungu kwenye historia kisayansi😅 It's ironic—don't you think?
1
Okay pengine nimerahisha semantics kwenye post yangu nimetumia kama ilivyokua commonly used, thanks for clarifying. So in that case it is impossible for an islamic state mpaka mtume mwenyewe awepo?
1
31
Replying to @swahilitimes
Hawa watoto wa JK hakuna la maana wanalofanya pengine hata taarifa sahii hana wamekaa ofisinu wanakunywa kahawa
49
Replying to @Just_chelimo
😂😂 it is the life my dear hapo pengine delete🫴🏾
1
9
Lakini mwenyewe kapost kama utani tu akasema ni yake Pengine anamshukuru bwana kwa kuona Jengo zuri kama hilo
Wasanii bhana, kipotoshi kaupost huu mjengo huku akimshukuru Baba, .. 😂😂.. Sisi hatuna haraka, Subiri akiumwa tutajua ukweli🤝.
69
Replying to @Prince_Urio
Pengine maan Yako niielewe apa bs
1
1
8
Aigi retweeted
Replying to @oluoch_ignatius
Pengine watakurushia za kabeji wakiona their t shirt
1
1
1
23
Replying to @Ace_Chris_
Spain haina odd. Pengine over mwejeje
1
16
Replying to @edwinsifuna
Surely mmeenda break wiki ka mbili mkisema munangoja ramathan iishe muende Mombasa sa sai after inaisha mnaanza na narok sasa what was the need of kuenda break?? Kenya ni kubwa mungeendelea kuenda mahali pengine
2
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema serikali haitasita kuchukua hatua kali dhidi ya watu watakaojaribu kuvuruga amani na utulivu katika mkoa huo na nchini kwa ujumla. Akizungumza leo June 15, 2026 katika kikao kilichowakutanisha wenyeviti wa mitaa na watendaji wa kata kilichofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC), Chalamila amesema amekuwa akifuatilia baadhi ya mijadala inayofanyika mitandaoni na kubaini kuwa kuna watu wanaotamani kuleta chokochoko katika maeneo mbalimbali. "Nimeona pia kwenye mitandao baadhi ya watu wanatamani kuleta chokochoko kwenye mikoa yetu, na kwa bahati mbaya sana nguvu inayotumika katika kulinda amani wakati mwingine inakuwa ya kawaida sana," amesema Chalamila. Mkuu huyo wa Mkoa aliongeza kuwa mamlaka za serikali zitaendelea kuhakikisha amani na usalama vinadumishwa, akionya kuwa hatua kali zaidi zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote atakayehatarisha utulivu wa nchi. "Nimeona pia kwenye kikao hiki nije niwaeleze kwamba, nguvu zitakazoendelea kutumika kulinda amani pengine haijawahi kutokea wala kuonwa katika kipindi chote, na pengine kuna wengine wanadhani kuna nguvu ishawahi kutumika mahali. Kwenye kikao hiki nataka niwathibitishie yalikuwa ni majaribio kutumia nguvu kulinda amani," amesema. Kauli hiyo imekuja wakati kukiwa na mjadala unaoendelea kuhusu hali ya kisiasa nchini, huku viongozi wa serikali wakisisitiza umuhimu wa kulinda amani, usalama na utulivu wa taifa. Kikao hicho kilihusisha viongozi wa ngazi za mitaa na kata, ambao walijadili masuala mbalimbali yanayohusu utawala wa maeneo yao, ushirikishwaji wa wananchi na uhifadhi wa amani katika jamii.
1
4
506
Replying to @only_plantske
Pengine mnaenda pande yenye haina hidden gems
5
VIDEO: Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu ameonesha kusikitishwa na 'ukimya' wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kufuatia tukio la 'kutekwa' na kutoweka kwenye mazingira tatanishi kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole ambaye hadi sasa haijulikani alipo Akizungumza kwenye hafla ya ACT Wazalendo mahsusi kwaajili ya kuwapokea vijana Wasomi wa Vyuo mbalimbali waliojiunga na chama hicho, Ado amesema awali alitarajia pengine Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro angejitokeza kulaani tukio hilo, hasa ikizingatiwa kuwa Polepole sio tu kwamba amekuwa Kada wa CCM bali pia amewahi kuhudumu kama Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho Taifa, Mkuu wa Wilaya, Mbunge na Mjumbe wa iliyokuwa Tume ya kukusanya maoni ya Katiba Mpya iliyokuwa inaongozwa na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba.
2
20
1,361
“Nimeona pia kwenye Mitandao baadhi ya Watu wanatamani kuleta chokochoko kwenye Mikoa yetu, na kwa bahati mbaya sana nguvu inayotumika katika kulinda amani wakati mwingine inakuwa ya kawaida sana, nguvu zitakazoendelea kutumika kulinda amani pengine haijawahi kutokea wala kuonwa katika kipindi chote, na pengine kuna wengine wanadhani kuna nguvu ishawahi kutumika mahali, kwenye kikao hiki nataka niwathibitishie yalikuwa ni majaribio kutumia nguvu kulinda amani.” Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza hii leo na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa na Kata kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere. #KitengeUpdates
18
2
65
8,730
Replying to @twelvenoah
no, I've heard my share of problems with hp, Pengine Lenovo
1
8
Pengine baba Fidel angeshinda elections saa hizi Mbadi ndio angekuwa CS for interior 🥲. We need to change this country once and for all for a better future. Time for change is now Cc @edwinsifuna @paulinenjoroge @_HEBabuOwino_
12