2026 will be WINS and GREATNESS Inshallah

Joined December 2019
1,023 Photos and videos
Pinned Tweet
No matter how much we have made or how much we elevated , it was always better to have a BRO by my side ~Tee Flenory
8
63
98
6,921
Hizi Familia zetu za chini wazee wetu wamejitoa Sana ili sisi tuwe tulipo Ukipata kidogo ni wajibu wako kuwa angalia wazee wako na hapo ndio Mwenyezi Mungu anakubariki zaidi Sisi waislamu tumesisitizwa hilo
yan as a kid haijalishi umri kazi yako ni ipi kudeliver? familia za ki afrika tunakuaga na miyeyusho sana, coz mtoto akizaliwa anaanza kujipambania kwa kusudi alilomletea Mungu dunian ambalo sidhan kama ni kulea famlia ya baba na mama ake🙌🏾
10
😂😂😂 Mimi nilikuwa sijibii organic na malengo yangu yalikuwa B ya 70
Mi nilisema sitokaa nifanye Organic 2 nikakutana na hyo solubility 🤣🤣🤣🙌 mbona nilijibu Amines na polymer kwa lazima
1
1
114
Idrisa Gana Gueye
1
38
Ndio iko hivyo tu
Kipindi nafika pale Advance nilikuwa nashangaa kwa nini ma bro wa six hawana uniform kabisa Ila nilivyofika form 6 na mimi sikuwa nazo kweli Nilifanyia necta nguo za dogo za kuazima nilivyomiza nilizitupa tu wala sikukumbuka chochote
22
Kila mtu Ana opinion yake kwenye Hilo
Je, kwa vile mlifanya nyie inamaanisha ni sahihi?
32
Sisi tuliosoma Shule darasani watu 200 Tunaelewa Sana hayo mambo
238
Janja aibiwe penseli lazima na yeye aibe apate ya kuandika hio ni survival mode tu ya kawaida Wala haimfanyi mtu kuwa mwizi zaidi inamfanya kuwa mpambanaji Wote tumepita huko
Mtoto anaenda shule anarudi na sweater sio lake na hamna mtu anauliza, anarudi na penseli sita hamna anayeshtuka. Huku mwingine akiibiwa penseli, nyumbani mzazi anamwambia “wakikuibia na wewe iba”. Mtu tangu mdogo anaamini kuchukua kitu cha mtu ni sawa.
260
Kuna mdada nilimuuliza Kama akipanda stejin akapewa kipaza inakuaje Akaniambia show itakua kama ile Miaka 25 ya Jide Hakiharibiki kitu
1
126
Sijawahi kumskia akisema hivyo Na hata kuuita "mwanangu" nayo ni issue nayo Imebaki tunaitana "Faza" tu
Washua wa zamani mpaka akuambie nakupenda mwanangu, haitokei au kwa mbide 😂🙌. Yaani, labda utotoni sana ukiwa una kumbukumbu. Ila at age 7 and above, Ni face signal 🚥 tu. Unasoma alama za nyakati kama mshua amefurahi juu yako au laah!🙌
1
12
Huyu mzee ni yuko fresh Sana
Huyuuu mzee huwa hatanii alikuwa CO 832kj kafukuza wengi sanaa
2
1
7
532
Hawa wakali kwenye pepa zenye we za Phys huwaga weupe sana Kuna mtaalamu tulikuwa nae pale anamwaga mambo kinoma ila pepa mchache
Jamaa anaua Bernoulli kijiweni..
1
1
230
Mimi sipo bongo ila nilipo natibiwa bure Sio utaratibu tu, kama kwao ni matibabu bure wote wapate
Hamtibiwi bure huku kwenu mnataka mtibiwe bure Zanzibar wanetu..?😀
1
3
329
Afya ni issue critical Sana uki compare starehe
Naonaga post za sisi wabongo kubaguana alafu najiuliza mbona Wazan'bar wakisema kama hivi tunalalamika sana. Utaskia "Usioe Mrangi/Mnyaturu/Mmachame au Usiolewe na Mpare/Mnyakyusa" Sisi wenyewe ni wabaguzi tuache kiherehere tukihisi kubaguliwa👍🏼
2
409
Uniqueness ya jamaa ni kwamba Jamaa yuko na uelewa na vitu anavyouliza Sio mambo ya "Kuna kidevu" Spell word automatic
Unicollege show ime-prove kua watu wanapenda contents za elimu, shida tulikosa mtu wa kulibeba hili.. No anazopata haziongopi 🔥
1
1
3
268
Exception za visa ban Watu wa sports wako included, ndio maana hata Iran National wako na access ya kwenda kucheza game za USA Yule janja kwanini wamkatalie
47
Travel ban iko active Kwa miezi Sasa Ilikuaje wakampa visa? Nadhani hapo ndio swali la msingi Na kwenye kila kitu Kuna exemption (ndio maana wakampa visa)
Maswala ya diplomasia na siasa hayo.. Niwaulize wazawa wa Tanganyika hivi leo hii yule mwandishi mkenya anaefanya kazi CNN anaweza pewa viza kuingia hapo kilwa kivinje? 😀😀😀😀
23
Yule mkali siku Mkeka ukimuita atatamba sana
8
Nakusihi janja ukipata nafasi ya ku represent Spain usisite fanya hivyo haraka Sana
🚨 UPDATE 🗞️ Tanzanian youngster 🇹🇿 Barka Seif Mpanda has joined FC Barcelona's academy (La Masia) 🇪🇸 from CF Damm. What A move 🙌 🔥🇹🇿 ✅ Our own Lamine Yamal 🔒
59
kauli ya bibi au tripple d kitambo sana
Nani yuko hapa asogee tuzinese. Ila kama ni Manzi asogee KAULI YA BIBI au ZIMBABWE tupate moja baridi moja moto.
1
1
1
79
Nipo narudia breaking bad kwenye netflix hapa nione unyama wa Mr Walter
22