Joined October 2012
1,513 Photos and videos
Pinned Tweet
Accept your Uniqueness
2
1
4
100
Kwa sasa hivi ipo double kick
Hii kitu maboda boda na wapiga debe iliwamaliza sana..🫵🏾
8
Hüntėr ®️ retweeted
Ukiambiwa ngozi ya Sangara inasafirishwa nje ya nchi mtakataa 😀
38
33
361
22,895
The signs Lakini saa nyingine inaweza isiwe hivyo bali ikawa ni kwamba Wakuulizao wanataka kulinganisha na namna ya kwao yameenda mfano kama ya kwao yamevunjika na wao wanatamani na ya kwako yavunjike Be carefully with friends you rock with
Ukiona jamaa zako wameanza kukuambia vipi shemeji bado upo naye shtuka hapo ujue anagawa uroda hovyo
9
Wengi tu, Tena ni wakorofi mno
Una rafiki ambaye akikuta upo kwenye ugomvi ataingia na kushusha kichapokwanza. Halafu mbungi ikiisha ndio aulize nini kilotokea..?😅
5
Hüntėr ®️ retweeted
Daudi alimzaa Suleiman kupitia Mke wa Uria(Bathsheba) Huenda hii ilikuwa ndio chanzo cha mpasuko wa Israel?
5
4
66
1,203
Hii kinu ni bei gani?
Ndiyo nataka niwahi ofisini nikasikilize hii ngoma ya AYAYAAH aliyoimba Element Eleéeh, Joshua Baraka na Bien kwenye JBL yangu 520 Part Box 😂
😂😂😂🔥🔥🔥
Mwanamke wako huku mtaani Tukimwambia shemeji hajambo anajibu kwa ukali Ulinipa wewe.😂😂
3
Imenikuta katika mtaa fulani Nikajisemea kimoyo moyo tu kwamba, Kwa mvua hii watu watakuwa wameshafanya yao kwenye mitalo na chemba 😂😂😂😂
Baba mvua Inatosha nenda kawabariki na wengine huko mikoani aise kumbuka hapa Darisalamu hakuna mashamba
1
1
1
26
Karibu sana mkuu
Replying to @philipsimon2
Sema katika social app wenye madini ni huu ase ntakitafuta
2
Wahalade...
“Mapenzi shida, pesa ndio kabisaaa.” Barnaba 2013
8
Kila mtu atapata kulingana na namna anavyo manipulate mambo.
Atakama tutatumia muda sawa still hatuwezi kufanana. Mtu kama elon hana brain burn out man
1
12
Ndiyo Lazima namba ziwe nne 1256,5432,7899,0032, Haijilishi ni namba gani lakini ziwe kwenye mfumo huo Haonagi kwenye mechi za mipira wanatumiaga mfumo unadhani wao ni wajinga mpaka wakaja na kitu cha kuitwa formation? Iko hapo kutimiza matakwa ya the universe law
Replying to @philipsimon2
Hapo ndipo unanichanganya mafungu manne?
1
1
178
😂😂😂
Kugombana kidogo Unataka Muachane 🤔 utatoa wapi mwingine kama yeye...!? We kula kunywa Maji na Ulale. Ukiamka Bado ni wako tu mpka kifo kiwatenganishe. 🫴🏽😂
10
Pale kwangu tuna Team mbili Team Baba Vs Team Mama Utani,Michezo, Makavu live pia Lakini kuna SAUTI YA BABA ---- Tunaishi ki tourist na .........
Good thing ya kuanzisha familia yako, hatakama dunia nje itakuchukulia kawaida ila love na heshima utakayopewa ukirudi home itakufanya usahau kila kitu. Jitahidi kuwekeza zaidi kwa familia yako kuliko chochote!📌
19
Time management is a must
Muda haujawahi kusimama kwa yeyote. Kinachotutofautisha sio miaka tunayoishi bali namna tunavyotumia dakika tulizopewa
1
1
3
93
Nice to meet you Goodmorning queen
Good morning from this side my beautiful people ❤️
1
2
72
Hüntėr ®️ retweeted
"Usiogope kupoteza watu ambao uwepo wao haukuongezei kitu na kuondoka kwao hakupunguzi kitu. Maisha ni mnyambuliko; wanaopaswa kuwepo watabaki, wanaotakiwa kuondoka wapishe njia." Good Morning Everyone 🌄🌄🌞
15
24
43
446
Hüntėr ®️ retweeted
Hakikisha unawekeza. Uwekezaji sio lazima uwe na kipato kikubwa sana,unaweza ukaanza na kidogo upatacho. Anza sasa,tafuta elimu sahihi ya uwekezaji na uanze kuitumia. Kesho yetu ni fumbo ila kwa kuwa bado tuna baraka ya kuamka basi ni muhim kuwa na misingi imara Good morning fam
30
33
68
761