Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 11, 2026, amefuatilia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka wa fedha 2026/2027 akiwa Ikulu Jijini Dar es salaam.
Hotuba hiyo imewasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, katika Kikao cha 48 cha Mkutano wa Tatu wa Bunge la 13 Jijini Dodoma, ikibeba mwelekeo na vipaumbele vya Serikali katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo na matumizi kwa mwaka mpya wa fedha.
#MillardAyoUPDATES