Joined April 2020
864 Photos and videos
Pinned Tweet
Kama uongo vile Rest easy soldier
6
5
69
4,649
Muda umefika Sasa tuanze kutumia fimbo maana mnaongea ujinga mwingi sana Gen Z @INFLUENCERjr ongea na wadogo zako
Ukitaka kujua Overrated Clown wa mda wote, nenda kaangalie Fainali ya Kombe la Dunia Marudio 2002 dhidi ya German, R9 alifunga goli mbili na kombe Brazil wabeba, ila kaangalie alichokuwa anakicheza mana shabiki zake wanadai mpira ni zaidi ya Magoli, we kaangalie bila kusikiliza wachambuzi, Tumia akili yako na macho yako afu uje na Majibu, R9 na Mbappe nani bora, Nasubiri majibu yenu hapa. Au kaangalie mechi zote alizokuwa na jezi ya Real Madrid, ni mechi chache sana amefanya Maajabu mashabiki zake wanajifichaga nyuma ya majeruhi utafikiri majeruhi aliumwa peke yake Duniani. If Overrated was a person then that person is Ronaldo De Lima 😄 🤣, Eden Hazard angecheza kile kizazi angeitwa Mungu wa mpira.
38
SONDA MNO ♈ retweeted
79' Origi scores, Liverpool now ahead on aggregate 🔵🔴 #LFCBarça (4-0, agg 4-3)
2,335
9,263
27,887
Saratoga ipo kigoma to sumbawamga
Replying to @Adventure_36
kigoma to sumbawanga napata Gari gani kaka
1
46
Mc 653 FRK dereva hataki kupokea Hela ya offer amegoma tumeamua kuongeza hela @bolt_tanzania kwa Sasa mmeanza kutukosea
10
Abiria wa takbiir wamesimama ushirombo kwa zaidi ya masaa nne baada ya abiria kulalamika kuwa gari mbovu. Wamekwama hapo polisi wanaangalia na dereva wanasema wameagiza gari katoro lakini hamna. Wanaomba msaada waweze kuondoka nyingine nzima @Adventure_36 @tanpol @LatraTZ
7
2
25
2,697
Good
Brighton double their lead through Hinshelwood. 🔵 2-0 🖤 [56] #CFC | #BHACHE
15
Uyu Arne slot Sasa ni kukodi wakina @INFLUENCERjr aende kumchapa makofi
🟢] NEW: Liverpool are open to letting Rio Ngumoha leave on loan in the summer window. Arne Slot believes the youngster isn’t ready yet to compete. (@JamesPearce)
1
2
218
Lopez watamvunja pua
2
13
SHULE ZILIFUNGWA NA TANGAZO LILITOKA MAPEMA HAKUNA MWALIMU YEYOTE AMBAE ALIRUHUSU WANAFUNZI NA HAKUNA MZAZI ALIRUHUSU MTOTO KWENDA SHULE
Ijumaa Kareem — Tunatoka Tena‼️ #HatutakiMuungano 👊🏽👊🏾👊🏿
85
Hizo ways Una gusa zina umeme mkali Sana
5 Nov 2025
Tuvunje muungano tu.
1
116
71
😀😀😀😀
1
65
WAKO WAPI WALE
1
122
39
*DKT. SAMIA KUENDELEA KUZITAFUTA KURA LEO* Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ataendelea na kampeni za kuomba ridhaa ya wananchi wa Mara na Simiyu hii leo Oktoba 10, 2025.
1
89
Dkt. Samia atazungumza na wananchi wa Butiama, Serengeti na Bariadi Mjini. #greenarmyoktobatunatiki#kazinaututunasongambele #rundikakurakwadktsamia2025
24
Mkimtukana Rais mñaona Sawa sio
Wapushi Hashtags za CCM nao wana roho ngumu sana. Imagine kwa mauaji na utekaji wote unaoendelea, bado wanakomaa kusambaza propaganda za Wauaji/Watekaji!
2
213
HIVI HATUTAKI KUSIKIA FREE MALIGA RAIS APEWE HESHIMA
70
SONDA MNO ♈ retweeted
16
8
8
131
Hongera Sana @INFLUENCERjr unakojoa pazuri
Daah Kuna tweeps alafu Kuna CLARA, huyu dada ni mzuri jamani ☺️. Nipo tayari kuhamia Yanga kwa ajili yake 🤩
1
4
584