MFALME BAGAILE AMHAKIKISHIA RAIS SAMIA KURA ZA MARASTA WOTE TANZANIA
"Kwa niaba ya marasta wote Tanzania Nzima, tunamhakikishia mama yetu, Chief Hangaya, popote pale anapowaona marasta, ajue ni kura zake kwasababu sisi tunaishi kwenye misingi ya amani na Rais Samia ameweza kulinda amani ya nchi yetu" - Mfalme Bagaile, Kiongozi wa Marasta jijini Mwanza
#BimkubwaTumekuverify#FursaZiendelee