Je Wajuaโ
Kitaalamu, majani ya mkonge yana urefu wa mita moja na kwa wastani unaweza kuishi miaka 13 hadi 14 na idadi ya majani yake yanaweza kufikia 200 hadi 300 katika maisha yake.
Tanzania inashika namba 1 Afrika kwa uzalishaji wa mkonge na namba 2 Duniani ikimfatia Brazil.