Mtu wa kawaida

Joined March 2020
1,400 Photos and videos
Pinned Tweet
Huyu jamaa anaitwa Mangi Dominick yuko dar nimesoma nae Mpwapwa secondary,kakumbwa na tatizo la ini anatakiwa kwenda India,hana kazi, mheshimiwaa @ummymwalimu ,@MwanaFA @ahmedsalimasas ,@moodewji mshikeni mkono aokoe maisha yake
2
7
19
2,584
Kwa niaba ya wanaume wote,nipende kuomba udhulu kwa wanawake zetu kwamba kuanzi leo tutakuwa haturudi home siku zingine na kulala vibanda umiza kwa heshima ya kombe letu la dunia.. Ahsanten
14
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
Moja ya kitu kinaninyima usingizi recently ni hili swala la wanaharakati kuwa wanalipwa!! (Kama ni kweli)🤔 Hizo taasisi au watu binafsi wanaolipa wanaharakati, huwa wanatazama vigezo gani kukulipa? Influence? au Numbers (Followers) au uwezo wa kuongea na kuandika au engagement ya social media au nini? Binafsi nimeanza hii course ya harakati tokea siku namaliza form six na kutoa wimbo wangu wa kwanza Tanzania (2007) nikiwa very young! Hadi leo nina Teremsha bunduki 2026! Miaka 19 kwenye hizi harakati NA SIJAWAHI KUPEWA HATA SHING 10 TOKA KWENYE HIZO TAASISI!! WALA KULIPWA NA MTU BINAFSI ILI NIFANYE HIKI NINACHOKIFANYA!! Na kuna muda unakuwa na uhitaji haswa, tena sometimes ni uhitaji wa kufanya projects hizi hizi za kusaidia hizi harakati….. you just end up using your own pocket money!! Kwenye hizi harakati nakutana na challenge nyingi, nakosa opportunities na michongo kwasababu naonekana niko against na gavoo na kuna muda napoteza hata kidogo nilichobakiza!! Nabaki empty hadi familia inakwambia si utemane na hizo mbanga……nawajibu I WAS BORN TO DO THIS!! Ni kama roho/nafsi inakataa ku-give up!! Tunafanya haya kwa passion, kuna a driving force tu inatusukuma kutetea, kukemea, kushauri na kupaza sauti tunapoona haki inakosekana, maendeleo hakuna, rushwa na ufisadi kwa viongozi vinakithiri, umasikini unazidi kwetu sisi raia, uongozi na utawala mbovu, shida za ajira na miundo mbinu, watu kutekwa, kufungwa na kuuliwa bila hatia na kucreate awareness kwa raia kuhusu issue za kisiasa na kijamii etc. Nikisikia mtu anasema kuyafanya hayo ni unalipwa…..nawaza nakosa majibu!! Wanatumia vigezo gani kukulipa? Hebu mtu anieleweshe pengine napishanaga na gari la mshahara!! Followers ninao (1.3M) influence pia si haba nikitoa miwa inapokelewa mtaani!! MBONA MIMI SILIPWI? Nways tusiache hizi harakati hata kama hazitupi pesa kwa sasa, faida yake mbeleni ni kubwa zaidi kwa nchi nzima na vizazi vijavyo!! Kama nimeandika kwa hisia sana ee?😁
102
263
1,445
161,240
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
Leo nimekumbuka huyu binti alitaka kupindua nchi yangu, angefanikiwa kupindua maana yake tungekuwa mateka wake, ni nani aliwaambia Polisi kuwa mimi sitaki kuwa Mateka wa huyu, 🤣 Aje anipindue mimi niwe mateka wake milele,
36
77
767
55,758
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
Msipuuze hizi odds wananguu ODDS : 700 Option: new option Site ::AFRO PARI Code ya mkeka ::G7GH9 Kama hauna AFRO-PARI👇🏿👇🏿 Jisajili: afro-pari.cc/BABAKIZIBO PROMOCODE andika: BABAKIZIBO APP LINK: afro-pari.cc/BABAKIZIBOapp Maswali yote kuhusu AFRO-PARI whatsapp:0762088880
1
4
1,080
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
BODA BODA wa Mbweni heshima yenu wanangu-wamewafukuzia watekaji mpaka wanaimgia nao kwenye kambi ya usalama wa taifa. Baada ya kuona mnaweza kuwafikia wakaamua kusimamisha gari na wote wakatoka na bunduki kuanza kuwashambulia. Wakati wote wanawashambulia na nyie mnakimbia huku nyuma mliokoa maisha ya DJUMBE. MUNGU AWABARIKI WANANGU NA KAZI ZENU NA FAMILIA ZENU.🙏🏾
53
439
2,938
62,516
👊
#TajiriLaKihaya Wewe Kijana ulieajiriwa; Achana na kufanya fadhila kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani. Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 8, usiende nyumbani uangalie TV au Kucheza Game au kushinda mtandaoni… fikiria kuanzisha biashara ili familia yako iweze kurithi, Hawawezi Rithi kazi yako. Kujifunza hakuishi…
1
1
26
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
KAMPUNI👉: SPORTYBET📌 TRENI LA WIKI(Mixed Options) ODDS 15642⚽️🔥🔥🔥 CODE👉 : 69D05P "EDIT, PICK SOME OR PLAY ALL"📌
3
12
65
8,695
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
Innah lilah laajun nimempoteza baba yangu usku huu
218
92
765
20,152
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
MUHINDI HATANISAHAU KWENYE VITABU VYAKE🔥 Code Betpawa-PUQYHOX Code Sportybet-57E59G Mechi zinaanza Kesho mpaka jumapil Repost mitaa ikapate huu utajiri,hili treni likichanika basi nipigwe mawe nchi nzima Msinisahau kwenye ufalme wenu tukutane siku ya jumapili🙏 0676971122
12
38
202
24,542
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.” — Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.
76
527
2,261
84,990
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa DSM BAKWATA. Kwanini viongozi wa dini wanakwepa kudai UKWELI, HAKI na UWAJIBIKAJI? Haya yanaweza kufanywa bila meza ya maridhiano. Kwanini hawataki kuzungumza MSAMAHA? Aliyefiwa, au kuumizwa pamoja na ndugu zao msamaha unaleta faraja. Mengine yawezekana tu.
15
14
94
10,814
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
Zaburi 27:10 Zaburi 55:22. Hata katika njia ngumu Mungu hatatuacha.. Atatuvusha 🙏🏽
114
68
680
116,808
Leo mzee sijamwamkia asubuhi nilimsalimia "Vipi bro" kanikata jicho kwa ukali akauliza nani kaka ako nikamjibu "Mimi na wewe ni baba mmoja(Mungu)"..Naona kanitolea nguo zangu sote itakuwa anataka akafue nguo za mdogo wake😨
2
18
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
Kitambo wanangu hamjanipa repost zenu.
6
84
174
2,607
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
#TajiriLaKihaya Madenge mambo Vipi…
18 Apr 2025
Replying to @EsirEid
ok..ila siwezi kuwa hizi nikawa nawasema watu vibaya mitandaoni
113
46
369
37,078
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
Replying to @rollymsouth
Sasa wewe umeona picha ya jamaaa umecheka… Ila huyo Jamaa akiona picha ya manzi acheke kama wewe ulivyocheka … Unaona nongwa? Au kwakua huyo ni jamaa na huyu ni manzi? Au cycle?
62
23
361
114,175
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
#TajiriLaKihaya Nlivyoona tu - Wapo IKULU… feeds inatoka IKULU… na Rais yupo pembeni…. Nkajua tu- Hii ni report ya Serikali na sio vinginevyo😅
113
224
2,090
48,459
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
101
765
4,216
71,827
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
Leo tunaondoka na hizi odds 24 mimi nimeweka figo wewe weka hata maini NB: Uoga wako ndio umaskini wako 📌
8
33
80
7,293
Sultan Leguna🇧🇷 retweeted
Odds 16 Stake 762,000Tsh Ushindi 13M Code Betpawa-I1G193N Code Sportybety-57ADXH Muhindi leo hachomoki🔥🔥🔥 Repost mitaa ishibe hela then click link hiyo hapo chini ili kujiunga na group letu la kubeti la WhatsApp chat.whatsapp.com/CXAGecsR3H… WhatsApp 0676971122
6
11
66
9,922