Joined May 2025
16 Photos and videos
Unseen Adviza retweeted
Kufanya biashara na wachina sio lazima mpaka uende CHINA MAINLAND. 2023 nilianza kujifunza kuagiza China nikiwa chini ya @eddygotya na @gabyconscious sikuwa najua chochote kuhusu kuagiza China. Story inaanzia hapaπŸ‘‡πŸΌ.
5
14
30
7,039
Unseen Adviza retweeted
The universe didn’t give you a mouth to stay silent and a mind to stay idle. You were built to disturb the comfortable and comfort the disturbed, that’s the cost of being awake in a world that profits from your sleep.
1
100
Unseen Adviza retweeted
Shetani Hashughuliki na Watu Wajinga, Kuna Watu Njia zao Zinawezakuwa Ndefu Ili Waje Kufupisha Njia Za Watu Wengine. #MapitoSiHatma
2
3
132
Unseen Adviza retweeted
2026 is 0% complete.
278
5,243
31,907
922,622
Maneno kuntu
15 Jul 2023
Kwa mtazamo wangu; Vijana wengi bongo tuna changamoto nyingi lakini kuna hizi changamoto 3 tukiweza kutatua tutapiga hatua;
1
1
220
Unseen Adviza retweeted
Someone please share this with President Ruto urgently.
84
1,857
3,935
90,977
Mzee kafunga Comment. Alijua ataisha
On behalf of Kenyan workers, let me take this opportunity to wish our very hardworking President H.E Dr. William S. Ruto a Happy Birthday and remind him that we, as workers, are greatly appreciative of his determination to transform this country. Your Excellency @WilliamsRuto, as you reflect on the year that was and pray for this new year, I wish that the Almighty may grant you the wisdom and strength to fully implement your bold vision for this country so that the welfare of all Kenyan workers may be significantly enhanced.
58
RT @AtwoliDza: On behalf of Kenyan workers, let me take this opportunity to wish our very hardworking President H.E Dr. William S. Ruto a H…
74
Unseen Adviza retweeted
Haki Lazima Itashinda Siku Zote ✊🏾✊🏾 Repost 300
16
418
1,825
60,622
Unseen Adviza retweeted
21 Aug 2024
Benjamin Fernandes' fintech, Nala, helps 500,000 Africans working abroad send money back home. Now he's aiming to build a cross-border payment system for multinationals doing business in Africa. trib.al/psD5fex
182
2,078
3,228
251,607
Unseen Adviza retweeted
25 Feb 2025
Hakikisha Haulali Bila, Kitumia Dakika Yako 1. Kutizama Video Hii. … Mzungumzaji; Brian Tracy. πŸ‘‡πŸΎ
6
25
81
3,746
Unseen Adviza retweeted
Kwenye Movie ya Jonathan Livingston Seagull iliyotoka mwaka 1973 kunasimuliwa kisa cha ndege waliokuwa wakiishi kama familia katika maisha yenye mateso mengi ya kugombania chakula kwakua Chakula kilikuwa kichache na ndege walikuwa wengi. Ndege Jonathan alikuwa na uchaguzi mmoja wa kuondoka katika maisha hayo. Lakini ndege wenzake walimkatisha tamaa sana ya kwamba hawezi kuruka (kupaa) kwakua kupaa sio utamaduni wao yeye anapaswa kukaa na kuishi maisha ya kugombania chakula basi. Ndege Jonathan aliona hayo sio maisha yake akaamua kufanya mazoezi ya kupaa mwanzoni alipata ugumu lakini aliendelea bila kuacha pamoja na kukatishwa tamaa aliendelea kufanya mazoezi na baadaye akaweza kupaa na kwenda kwenye ulimwengu mwingine wa maisha yenye fursa nyingi na chakula kingi. Hata wewe unaweza kupaa. Paa fanya mazoezi ya kupaa na utaweza.
8
17
114
5,624