Kuna wale ambao wanajifanya wanakujua sana, na ubaya zaidi hawajawahi kuweka comment nzuri hata siku moja.
Wao wanachojua ni kukuponda na kukukosoa.
Mtu wa namna hii hata simblock, na wala simwambii chochote. Naacha ukimya wangu umpe jibu kwamba comment yake haina uzito wowote!