hii yenyewe ni aina ya ukatili unaofanywa na dola dhidi ya wβnchi. hii ni dar, inayozalisha utajiri mkubwa kila sekunde. unakwenda wapi, kama mitaa inaonekana kama hivi? well, inakwenda kwa wahuni na majambazi wachache, waliopora madaraka, na kila siku kuimba amani na uzalnedo: