Naweza kutengeneza website kwa kutumia teknolojia zinazohusisha javascript ambazo ni react na express nk. Pia nareply tweet kwa kutumia javascript.

Joined November 2022
3 Photos and videos
javaScriptian retweeted
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 27,000/= 0714336827 #Mikoa Yote Tunatuma
12
130
158
12,665
javaScriptian retweeted
Ni hivi huyu @DEUSDEDITHSOKA ana Rahman’ı kubwa kikundi chote cha vibaka wa Chana tawala na serikali Yao ya wizi wa kura. Acheni wivu wa kishamba huyu anapiganiwa na watu tohara kwakuwa matendo yake na maneno yake ni kupigania haki nyie matendo yen na maneno yenu ni kuiba
3
55
132
3,399
javaScriptian retweeted
Kijana mwenzetu hatyjui ana hali gani huko hebu sambazeni huu ujumbe wamwachie jamani .......🥺🥺🥺 Naomba retweet iwafikie polisi
21
378
612
35,866
javaScriptian retweeted
RAIS @SuluhuSamia anafurahia MAISHA na mwanae ABDUL..... Ebu tujiulize MAMA yake Soka ana hali gani.??? Alafu jaribu kufiria kijana huyu alitekwa na POLISI wa NCHI hii wanaolipwa mishahara yao kwa Kodi zetu WANANCHI.😭😭😭😭 Soka na wenzake warejeshwe uraiani wakiwa hai.
15
121
315
6,616
javaScriptian retweeted
1
62
145
2,424
javaScriptian retweeted
Mtu wa kwanza kunipa 🎤 nizungumze kwenye jukwaa la kisiasa ni Jacob Mlay, leo Mlay, Deusdedith Soka na Elie's Mbise wametekwa hawajulikani walipo, vitendo vyetu vitawaleta hadharani subirini.
13
169
624
11,511
javaScriptian retweeted
🐕 Ni zaidi ya wiki sasa #Jibwa mwenzetu anaendelea kushirikiliwa na mamlaka kinyume na Utaratibu. 🐕 #MijibwaMipumbavu tunamtaka Mama Abdul awaagize watu wake wamwachie mara moja #Jibwa Mwenzetu 🐕 Tunamkumbusha mama Abdul kufikilia hali ya Mwanamke mwenzie #MamaDeus
4
56
92
3,165
javaScriptian retweeted
kosa kubwa alilolifanya Soka ni kudai Tanganyika yetu. Yaani ni UHAINI hivi leo kuipigania nchi yetu inayotawaliwa na raia wa Zanzibar #Hatukubali#
4
49
117
3,885
javaScriptian retweeted
25 Aug 2024
Huyu kijana hana hatia yeyote wewe uliyemteka @DEUSDEDITHSOKA unafikiri wewe utaishi miaka mingapi hapa duniani? Fikiria ingekuwa ni familia yako ungekuwa unapata maumivu kiasi gani? Unajua wazazi wake waliwekeza kiasi gani kumfikisha hapo alipo? Kuweni na huruma. Mbwa nyie
3
92
221
5,986
javaScriptian retweeted
#TANZANIA: KESI YA SOKA, MLAY NA MBISE KUSIKILIZWA KESHO MAHAKAMA KUU DAR - KISABO Kesi ya @DEUSDEDITHSOKA , Jacob Mlay na Frank Mbise iliyofunguliwa  Mahakama Kuu ya Dar Es Salaam na Wakili Paul Kisabo na Mawakili wengine dhidi ya IGP, DZPC, ZCO, OCCID Temeke na OCS wa Temeke, DPP na AG kusikilizwa kesho Agosti 27, 2024 na Jaji Wilfred Dyansobera. "Kesi ya @DEUSDEDITHSOKA, Jacob Mlay na Frank Mbise dhidi ya IGP, DZPC, ZCO, OCCID Temeke, OCS Temeke, DPP & AG hatimae imepangwa kusikilizwa kesho 27/08/2024 saa nne kamili asubuhi mbele ya Mhe. Jaji Wilfred Dyansobera. Wapenda haki kesho tukutane Mahakama Kuu Dar es Salaam" - @Advocate_Kisabo
5
106
282
10,359
javaScriptian retweeted
Justice for Soka & Others @tanpol @SuluhuSamia @KassimMajaliwa_
4
72
143
4,137
javaScriptian retweeted
President @SuluhuSamia, we urgently call on you to ensure the safe release or prompt court appearance of @DEUSDEDITHSOKA, who was arbitrarily arrested by law enforcement in Temeke, Tanzania, and is currently being held at an undisclosed location. His detention is linked to his peaceful advocacy for constitutional reform and protest, which are fundamental human rights. We request that you guarantee his safety, uphold the rule of law, and ensure due process is followed. Furthermore, we urge you, President Samia, to instruct your security agencies to ensure the safe return of all detained individuals, including #FreeSoka, #FreeDionizKipanya, #FreeChaula, and #FreeJaboMalay. Their well-being and safety are of utmost concern, and we demand that they be treated with dignity and respect, in accordance with international human rights standards. #Tanzania 🇹🇿
7
77
145
5,506
javaScriptian retweeted
Leo ni siku ya Saba, tangu kijana mwenzetu, Ndugu yetu na kamanda mwenzetu Deus Soka atekwe, Tunaendelea kuwasisitiza waliomteka Soka wamrudishe haraka akiwa salama bila kudhurika Kwa lolote, Hatuwezi kuishi kwenye taifa letu ambalo Baadhi ya watu hawaheshimu uhuru wa wenzao.
2
113
449
8,624
javaScriptian retweeted
25 Aug 2024
Jamaa wa nyumbani kwetu kabisa sumbawanga😭😭😭😭😭 very sad kwakweli,haya mambo yana umiza Sana jamani heeee.
4
85
240
6,203
javaScriptian retweeted
Watumishi wa Mungu mnaokaa kimya katikati ya utekaji huu,, Watu wakimalizwa mtawahubiria NGURUWE? @MariaSTsehai
7
59
115
3,428
javaScriptian retweeted
Kesho tarehe 27 Agosti 2024 itakuwa ni MWANZO wa kutumia MIKAKATI na MBINU ZOTE za kule LIBREVILLE, GABON, ili ndugu yetu DEUSDEDITH SOKA awe HURU TENA. Tukutane Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala kuu-DAR ES SALAAM.
49
376
1,663
27,022
javaScriptian retweeted
Mpaka wapotezwe wangapi ili tujue kwamba tunaangamia? Hii hali inayoendelea ya kuteka watu je haya ndio yalikuwa malengo ya kupigania Uhuru? Kwanza Uhuru maana yake nini? Au tuendelee kuamini swala la watu kupotea ni Drama? . Tanzania Swala na tembo wana thamani kuliko Binadamu. . Achieni watoto wa watu Oneni Aibu
15
230
606
14,022
javaScriptian retweeted
26 Aug 2024
#breaking 🚨🇹🇿 @DEUSDEDITHSOKA A Mystery of Life or Death Continues to Unfurl……⁉️ Hali ya sasa ya Deusdedith Soka, bado haijafahamika kufuatia taarifa za kutekwa nyara kwake. Kuanzia tarehe 26 Agosti 2024, hakujakuwa na taarifa za uhakika kwa umma zinazothibitisha iwapo amekufa au yuko hai. Hata hivyo, kuna dalili kutoka kwa vyanzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mitandao ya kijamii na taarifa za habari, ambazo zinaonyesha kuwa anaweza kuwa amekufa ama yuko hai na ameachiliwa. Kutokana na shinikizo kubwa kutoka kwa wanaharakati na waangalizi wa kimataifa wa kutaka aachiliwe, jambo ambalo linaweza kumaanisha kuwa hatua zilichukuliwa nyuma ya pazia. Walakini, uthibitisho kamili wa kuachiliwa kwake rasmi haujathibitishwa. Mwenendo wa utekaji nyara na jinsi wanavyotendewa wanaharakati nchini unasisitiza suala pana la ukiukwaji wa haki za binadamu, ambalo linatatiza kupata taarifa za moja kwa moja. Hadi sasa, bila uthibitisho wa moja kwa moja kutoka kwa Soka mwenyewe au taarifa rasmi isiyopingika, hakuna mtu anajua kama soka yuko hai ama amaekufa. Hali yake bado haijafahamika rasmi. Kumbuka kila wakati, katika hali kama hizi, maelezo yanaweza kudhibitiwa au kubadilishwa, ni muhimu kutafuta masahihisho yaliyothibitishwa kutoka kwa vyanzo vinavyoaminika.
2
59
115
3,391
javaScriptian retweeted
Hakika serikali dhalimu inatakiwa kukabiliwa kwa udhalimu wake #freedeusdedithsoka na #freejacobmlay
38
57
726