Filter
Exclude
Time range
-
Near
Hifadhi hii & mtumie rafiki post hii.⁣ ⁣ Je, unakimbizana na wateja wapya kila wakati? ⁣ ⁣ Acha kukimbiza wateja wapya—tumia wale uliokwisha kuwanasa!⁣ ⁣ Watu wengi wanakimbizana na wateja wapya, lakini fursa kubwa iko kwa waliokwisha kukuamini.⁣ Mo Finance tunatoa mikopo ya kuongeza mtaji kwa wateja wetu wa zamani—kwa sababu tunawajua, tunawaamini, na tunajua wanapambana kweli!⁣ ⁣ Ni rahisi zaidi kuuza kwa mteja aliyekutegemea tayari, kuliko kumshawishi mgeni.⁣ Jenga biashara yako na wateja ulionao. Usikimbie kila siku.⁣ ⁣ //⁣ ⁣ Save this & send it to a friend.⁣ Stop chasing new clients—maximize the ones you’ve already won!⁣ ⁣ Most people chase after new customers, but your biggest opportunity lies with those who already trust you.⁣ At Mo Finance, we offer special loans to boost capital for our existing clients—because we know them, we trust them, and we’ve seen their hustle.⁣ ⁣ It’s easier to sell to someone who’s already relied on you than to convince a stranger.⁣ Grow your business with the clients you already have. Stop running every day.⁣ ⁣ #marketingtips101 #brandstrategytips #storytellingtips #brandingtips #brandstrategy #marketing #branding #digitalmarketing #brand #brandidentity #brandstrategy101 #smallbusinesstipsntricks #entrepreneur #database #databases #data #databasemurah #databasetrusted #rb #dataanalytics #databasesupplierindonesia #databasesupplier #databaseasli #datascience #datascientist
8
8
25
748
27 Mar 2025
Hifadhi hii & mtumie rafiki post hii kama unauza bidhaa yoyote!⁣ ⁣ Wafanyabiashara wengi Tanzania hawajajua kutumia WhatsApp kwa ajili ya biashara.⁣ Hivi ndivyo unavyoweza kuitumia kupata mauzo kila siku:⁣ 📌 Usipost tu na kusubiri — ZUNGUMZA na wateja wako.⁣ ✅ Tuma ujumbe mfupi kama:⁣ “Habari, jina langu ni Fatema. Tuna mzigo mpya wa Mo Soda. Je, unahitaji?”⁣ ✅ Tumia voice note — Inafanya mazungumzo kuwa ya karibu na inaongeza uwezekano wa kupata jibu.⁣ ✅ Fuatilia baada ya siku 3 — Mauzo mengi hufanyika baada ya follow-up!⁣ Ikiwa hujatumia WhatsApp kuuza, unapoteza hela kila siku.⁣ 📚 Je, wewe unatumia WhatsApp kwa biashara yako?⁣ ⁣ Jiunge na WhatsApp Community yangu ambapo nashare tips bure za marketing na fursa mbalimbali.⁣ Scan QR code kwenye video kuingia!⁣ ⁣ //⁣ ⁣ Share & Save this post if you sell anything!⁣ ⁣ Most business owners in Tanzania don’t know how to use WhatsApp for business.⁣ Here’s how you can use it to make sales every single day:⁣ ⁣ 📌 Don’t just post and wait — TALK to your customers.⁣ ✅ Send short messages like:⁣ “Hi, my name is Fatema. We just received new stock of Mo Soda. Would you like some?”⁣ ✅ Use voice notes — It makes the chat more personal and increases the chance of a reply.⁣ ✅ Follow up after 3 days — Most sales happen after a follow-up!⁣ ⁣ If you’re not using WhatsApp to sell, you’re losing money daily.⁣ ⁣ 📚 Are you using WhatsApp for your business?⁣ Join my WhatsApp Community where I share free marketing tips and business opportunities.⁣ Scan the QR code in the video to join!⁣ ⁣ #marketingtips101 #brandstrategytips #storytellingtips #brandingtips #brandstrategy #marketing #branding #digitalmarketing #brand #brandidentity #brandstrategy101 #smallbusinesstipsntricks #entrepreneur #database #databases #data #k #databasemurah #databasetrusted #rb #dataanalytics #databasesupplierindonesia #databasesupplier #databaseasli #datascience #datascientist
4
7
32
1,039
24 Mar 2025
Mali bila daftari hupotea bila Habari⁣ Kama huandiki taarifa za wateja wako, unakosa pesa—kila siku. ⁣ Hii Hauhitaji laptop wala programu za gharama.⁣ Hivi ndivyo unaweza kujenga database kwa kalamu na daftari tu:⁣ ✅ Andika majina na namba za wateja wote wanaonunua kutoka kwako.⁣ ✅ Tumia WhatsApp broadcast list kuwajulisha kuhusu bidhaa mpya.⁣ ✅ Tuma ofa, promosheni na ujumbe wa kuwashukuru ili wawe wateja wa kudumu.⁣ Biashara bila database ni kama duka bila mlango. Jua wateja wako ni nani, na watarudi kila mara.⁣ ⁣ Jifunze jinsi ya kukusanya na kutumia database kuongeza mauzo. Pata eBook yangu sasa—link ipo kwenye bio au angalia stories zangu!⁣ ⁣ //⁣ ⁣ “Mali Bila Daftari Hupotea Bila Habari”⁣ If you’re not tracking your customers, you’re losing money—every single day.⁣ ⁣ You don’t need a laptop or expensive software. Here’s how you can build a powerful database with just a pen and notebook:⁣ ⁣ ✅ Write down the names and phone numbers of every customer who buys from you.⁣ ✅ Use a WhatsApp broadcast list to update them on new products.⁣ ✅ Send offers, promotions, and thank-you messages to keep them coming back.⁣ ⁣ A business without a database is like a shop without a door. Know your customers, and they’ll keep returning.⁣ ⁣ Learn how to collect and use customer data to increase sales. Get my eBook now—link in bio or check my stories!⁣ ⁣ #marketingtips101 #brandstrategytips #storytellingtips #brandingtips #brandstrategy #marketing #branding #digitalmarketing #brand #brandidentity #brandstrategy101 #smallbusinesstipsntricks #entrepreneur #database #databases #data #k #databasemurah #databasetrusted #rb #dataanalytics #databasesupplierindonesia #databasesupplier #databaseasli #datascience #datascientist
2
5
19
584
1 Aug 2023
Microservices have become the go-to structure on the current market. Read More : rb.gy/nvri5 #databases #databasemurah #data #databasetrusted #databasesupplierindonesia #bisnisdatabase #metaorangedigital #cloud #devops

8
469
Unlock the Power of Microsoft Access: Expert Guidance for Managing Mission-Critical Applications . . #Microsoft #MicrosoftDatabase #MicrosoftSpreadsheet #MicrosoftExpert #Access #AccessDatabase #AccessExperts #IT #ITexperts #Database #DatabaseTrusted #PowerBI #PowerFlow #SQL
1
103
¿Qué tipo de gráfico utilizar para estudiar la comparación, relación, distribución o composición? buff.ly/3UlZXzc #machinelearning #infographic #datacenter #datavizsociety #dataprotection #infographics #databases #databending #datarecovery #databasetrusted #dataviz
1
6
398
Most popular Databases every programmer should know 1. MySQL 2. Microsoft SQL server 3. Mongo DB 4. Oracle Database 5. Redis #database #databases #databasemurah #data #databasetrusted #dataanalytics #datascience #databasepromo #databasekonveksi #databasereal #datascientist
14
8
Taking advantage of this can provide easier access to data than you imagined. Call Us Now! @ilibertyae info@iliberty.ae 02 441 4009 #libertyinternationalitsolutions #abudhabi #uae #database #databases #data #databasetrusted #towardsthenext50
1
5
Email your resume- application@flintex.com.sg Now Hiring - Database Administrator. Location - Singapore ***Apply Now *** . . . #flintexconsulting #flintex #database #databasesupplier #databasetrusted #data #databasereall #business #databaseadministration #administration
1