#PhotoAnalysis
See Children’s reaction upon stumbling leaders.
🚀From what I see, sisi kwa watu tunaojua mambo haya ya kusoma alama za picha, Rais Samia Suluhu mbele ya watoto ana vutia zaidi, sura za watoto zina bashasha na hazina woga. Watoto wanahisi usalam wa hali ya juu mbele ya Mama.
🚀Kwa Mbowe, kwanza anafinya watoto mashavu, tazama hiyo picha hapo. Pili watoto sura zao zimejaa taharuki. Ukweli usemwe, Mbowe anatisha jamani.
🚀Tazama mikono ya huyo mtoto kwenye picha na Rais Samia, ametuliza mikono yake, lakini mtoto kwenye picha na Mbowe amemshika Mbowe mikono akimaanisha Mbowe amuachie anamuumiza mashavu, Mbowe ni Katili.