Filter
Exclude
Time range
-
Near
5 Mar 2025
Watu wanapatiwa msaada wa kisheria katika mkoa wa arusha kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake na hapa ni mhe, waziri wa katiba na sheria akisain kitabu cha mahudhurio tayari kuskiliza wananchi #ssh #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza
6
7
13
19 Dec 2024
β€œ#MAKINIKIA: ANKAL NA WATAALAMU WA HIZI KAZI ZA UPIGAJI PICHA KWA WELEDI Usiku wa kuamkia leo Ankal na wenzie walikuwa maeneo ya Upanga jijini Dar es salaam kukutana na mpiga picha mkongwe anayeishi Unigereza, Adarsh Nayar (wa pili kushoto) ambaye kaja kula sikukuu na kuhesabiwa. Kama utakumbuka au kama hufahamu kabisa basi huyu ndiye aliyekuwa mpiga picha rasmi wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na ndiye aliyepiga hiyo picha ya Mwalimu uliyoibandika ukutani hapo ubavuni pa picha ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Anayefuata mwenye fulana ya kijani na nywele na madevu kama Father Christmas ni Hanif Abdulrasul, anayeendesha kampuni ya uchapaji ya DTP Tanzania na pia yeye ni mtaalamu mkubwa wa picha za portrait. Picha ya Mhe. Rais Dkt. Samia kapiga yeye. Anayefuata ni Imani Nsamila, mpiga picha mahiri wa Kimataifa ambaye ni mshindi wa Tuzo kibao ikiwemo za Vijana za GCCA kwa Uandishi Bora wa Hadithi za Mabadiliko ya Tabianchi kwa Afrika Mashariki na ya Kati. Wa mwisho kule ni Adam Mzee, mpiga picha hodari anayehudumu ofisi ya Rais. Kila mara Adarsh anapokuja nchini huwa tunakaa naye na kubadilishana mawazo kuhusu taaluma hii, ilikotoka, iliko na inakokwenda. Yeye, ambaye licha ya kuongozana na Mwalimu Nyerere kila mahali, pia alikuwa mmoja wa wanahabari waliokwenda kuripoti vita vya Kagera, anasema hakuna njia ya mkato katika kazi hii zaidi ya nidhamu, ubunifu, bidii na kuipenda kazi yako. Ukikosa kimoja tu katika hayo anakwambia utaula wa chuya! Pia ametahadharisha kuwa macho na matumizi hasi ya AI ama Akili Mnemba, ambayo amesema hilo linaumiza vichwa watu kila sehemu duniani, ikizingatiwa kwamba kila mtu siku hizi anajifanya mwanahabari, na kwa kukosa taaluma anaishia kwenda kinyume na maadili huku akiwafanya wanahabari wote wasionekane kuwa ni watu wa maana. Na hata hao walio wanahabari wa kweli, hususan kwenye online TVs ni kizungumkuti. Anachowaza ni aidha kuchekesha ama kujifanya anajua kuuliza maswali, na anajikuta vyote hajui. Akilini mwao wanadhani Mtanzania anapenda vitu vya hovyo tu, ama vya kitoto visivyo na tija! @imaninsamila_photography @imaninsamila @adarshnayar @msokile @dtptanzania #makinikiayahabari” - Issa Michuzi @MichuziBlog Link: πŸ‘‰instagram.com/p/DDveMYKq5mz/…
4
7
33
6,125
11 Sep 2024
Wanahabari wanajenga sehemu kubwa ya Wadau wetu kwenye kuchechemua marekebisho ya sheria na upitishwaji wa sera zinazolinda afya ya jamii. michuzi.co.tz/2024/09/tawla-… @MichuziBlog #HakiHainaJinsia

1
2
27
Replying to @Twaha_Mwaipaya
@HabariDigital_ @EfmTanzania @wasafitv @ayotv_ @gaditvUpdate @MichuziBlog @KUSAGATV @Harakatizajiji @bongofive Anayejisoma hapa mtag mwandishi mwenzako na kikao kianze mara moja, leo kwa mwamba, kesho mwako.
1
1
3
1,518
HOYCE TEMU; MLIMBWENDE MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA KULIKO WOTE WALIOPATA KUSHIRIKI SHINDANO LA MISS TANZANIA (π˜’π˜Άπ˜΅π˜°π˜¬π˜’ 𝘜𝘬𝘢𝘡𝘒𝘯π˜ͺ 𝘬𝘸𝘒 𝘈𝘯𝘬𝘒𝘭π˜ͺ @issamichuzi 𝘬𝘢𝘱π˜ͺ𝘡π˜ͺ𝘒 𝘢𝘴𝘩𝘰𝘳𝘰𝘣𝘒 𝘸𝘒 #π˜”π˜’π˜¬π˜ͺ𝘯π˜ͺ𝘬π˜ͺ𝘒𝘠𝘒𝘏𝘒𝘣𝘒𝘳π˜ͺ ) Pichani anaonekana Miss Tanzania 1999 Hoyce Temu akiingizwa kama malkia katika ukumbi wa Billicanas jijini Dar es salaam katika hafla maalumu ya kusherehekea ushindi wake iliyohudhuriwa na mama ya mashabiki. Hapo, Hoyce akiwa na umri wa miaka 21, aliwakilisha chi katika shindano la Miss World lililofanyika Uingereza baadaye mwaka huo. Hoyce Anderson Temu, mwanadiplomasia, mwandishi wa habari na mtaalamu wa mahusiano ya umma ndiye mlimbwende mwenye mafanikio kuliko wote walioshiriki mashindano ya rembo ya Miss Tanzania tokea yaibuke tena mwaka 1994 baada ya kupigwa marufuku mwaka 1967. Hii ilidhihirika pale alipoteuliwa kuwa Balozi na kuwa naibu mkuu wa ubalozi katika Ubalozi wa Tanzania huko Geneva, Uswisi, mnamo Mei 23, 2021. Alipoteuliwa kuwa balozi, tayari alikuwa msomi na mwenye uzoefu wa kitaalamu, katika mahusiano ya umma, uandishi wa habari na mawasiliano. Waajiri wake wa zamani ni pamoja na Standard Chartered Bank, Umoja wa Mataifa na Serikali ya Tanzania. Alihudumu kama Afisa wa Mahusiano ya Umma katika Shirika la Chakula na Kilimo (FAO), nchini Tanzania mnamo 1999. Kisha alihudumu kwa miaka mitatu iliyofuata kama Katibu wa Kamati ya Telefood ambayo walezi wake walikuwa Rais wa awamu ya tatu marehemu Benjamin Mkapa na mkewe, mama Anna Mkapa. Hoyce pia alihudumu kama mtangazaji wa televisheni katika kipindi hicho, ambapo wakati mwingine alitumia pesa zake mwenyewe, wakati mwingine michango na wakati mwingine udhamini wa mashirika. Kipindi cha televisheni kiliitwa Mimi na Tanzania ambacho kilisaidia watu wengi sana. πŸ“Έ: @issamichuzi @HoyceTemu @MichuziJr @othmanmichuzi @MichuziBlog
3
10
834
#Michuzitv_update Ndugu Jokate Mwegelo ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinzduzi (CCM). Jokate amechukua nafasi ya Ndugu Faki Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Simanjiro #Michuzihabari #MichuziTv #MichuziBlog
1
49
#Michuzitv_update Ndugu Amoss Makalla ameteuliwa kuwa katibu wa Halimashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo. Makalla amwchukua nafasi ya ya Ndugu Paul Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. #Michuzihabari #MichuziTv #MichuziBlog
2
41
31 Jan 2024
Mkubwa yaani story jana unaruka nayo leo!? Mkubwa ajiri vijana wakimbizane na matukio
4
Day Two of the 3rd Tanzania Mining & Investment Forum @tmifevent has come to an end. Check out the Day Two round up video for the Forum & Exhibition highlights! Watanzania Tunaweza!! @TZMsemajiMkuuΒ  @bbcswahiliΒ  @UhondoNews @MichuziBlog #thamanimadiniΒ  #madininimaishanautajiriΒ  #TMIF2023 #tanzaniamininginvestmentforum #tanzaniaenergycongress #dmgevents #Tanzania #webringtheworldtotanzania @millardayo
1
2
10
744
Mission Accomplished. Yes Tanzanians We Can deliver a World-Class event !Β  Check out the round up video for the Day One of the @tmifevent Forum & Exhibition highlights held on Wednesday 25th October 2023 which delivered a wealth of industry insights, engaging discussions and networking opportunities.Β  @TZMsemajiMkuuΒ  @bbcswahiliΒ  @UhondoNews @MichuziBlog #thamanimadiniΒ  #madininimaishanautajiriΒ  #TMIF2023 #tanzaniamininginvestmentforum #tanzaniaenergycongress #dmgevents #Tanzania #webringtheworldtotanzania @millardayo
3
4
15
912
Tumelipokea swala lako na tunaahidi tutalifanyia kazi. Ahsante^IRS
17
Habari, ahsante kwa kuwasiliana nasi, tumepokea maoni yako.^IRS
137
Naibu Waziri wa Madini, Dkt Steven Kiruswa Oktoba 17, 2023 aliongoza ujumbe wa Tanzania katika ufunguzi wa Mkutano wa Madini Muhimu na Mkakati kwa mwaka 2023 unaofanyika katika Jiji la Cape Town nchini Afrika Kusini. @KiruswaS @HabariLeo @MichuziBlog @Jambotv_ @maelezonews
1
1
8
740
Waziri Mavunde amefafanua kuwa MBT itawajengea uwezo vijana kwa kuwapatia mitaji na kuwaunganisha katika Taasisi za fedha , kuwapatia wataalam waliopo katika sekta ili wapate ushauri elekezi katika hatua za Utafutaji , Uchimbaji , Uchenjuaji na Uthaminishaji . @matokeochanya
1
4
236
Hayo yamebainishwa leo Septemba 28,2023 na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde katika kongamano la Mpango wa Ushirikishwaji Wananchi kwenye Sekta ya Madini (local content) lililofanyika Viwanja vya EPZ Mkoani Geita. @AnthonyMavunde @MahimbaliK @MichuziBlog @maelezonews
1
2
4
306